Niliwaonya hapa hapa kuwa Kawaondoeni Ndugu zenu kwa akina Fally Ipupa na Ferre Gola kwani 'Namba M' hawana Masihara mkanipuuza

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
57,015
109,934
Na baadhi ya wale ninaoongea nao kutoka kwa akina Fally Ipupa na Ferre Gola wanasema kuwa Walioondoka na Pumzi ya Moto siyo Watatu ila wako Tisa na huenda Wasafiri wengine wa Kuondoka na hawa Abiria Wazembe Watatu hadi Kenda ( Tisa ) tunaotamba nao Wakaongezeka.

Shikamooni sana Namba M na labda sasa kuna Wapuuzi fulani hivi wa nchi moja watakuwa wanafuata nisemayo Ok?
 
Tatizo ni kanuni ya kulinda amani hairuhusu kupigana. Vikosi vya SADC vingeruhusiwa kupiga hao namba M siku nyingi tungeishawasahau kwa kichapo ambacho wangekipata
 
Tatizo ni kanuni ya kulinda amani hairuhusu kupigana. Vikosi vya SADC vingeruhusiwa kupiga hao namba M siku nyingi tungeishawasahau kwa kichapo ambacho wangekipata
Vikosi vya Samidrc vinaruhusiwa kutumia nguvu dhidi ya waasi.

Sijawahi kuwaona wa Uganda au Kenya au hata wa Rwanda wakifa Kizembe kama wa Mataifa mengine hopeless duniani.
Ila yote kwa yote wale M23 wamekufa kama kumbikumbi zile BM zimewapukutisha sana, kwenye mapigano kupoteza askari ni kawaida, M23 wapepukutika na wataendelea, bana Mukongo hoyee.
 
Ila yote kwa yote wale M23 wamekufa kama kumbikumbi zile BM zimewapukutisha sana, kwenye mapigano kupoteza askari ni kawaida, M23 wapepukutika na wataendelea, bana Mukongo hoyee.
Wadanganye Wapumbavu wenzako. Nendeni Kesho pale Uwanjani Kwao Kiwalani mkapokee Boksi zao zingine 9 sawa?
 
We Genta mtu wa ajabu kweli kwani askari kufa kwenye mission ajabu,soon hao unaowaona wababe mbona mwaka na ushee wako Bunagana? Sake na Goma hawajaikamata.Soon watafurushwa tuu.
 
Back
Top Bottom