Nilipopanga kuna wadada muda wote wanasema tap tap screen, nimakelele tupu

Wajuzi ebu niambieni wana maana gani kusema tap tap screen yani nimepanga apa sinza basi Kuna vibint vinasoma chuo cha ustaw wa jamii mwenge, vikitoka chuo tuu wanaanza makerere yao mpaka usiku wa saa tisa huko, hatulali

Wapo kama watatu hivi sijui ni matapeli wa mitandao mm sielew, mda wote wanaulizwa na kujibu maswali, au sijui wanajisomea kwa video call za group?. Hawa wadada watanifanya nihame hii nyumba. Yani mda wote wanaomba gift, nitumie gift. Hawa huenda niwapiga vizinga wa mitandao wale wa Facebook ukiwafata WhatsApp wanakuomba bando, mda wote hawana bando ilihali wapo online. Hawa ni wezi. Mm nitahama au nitareport polisi
Unaondokaje bila kuwagonga??
 
Mwalimu mpwayungu unaonekana unawafatilia sana majirani zako hatua kwa hatua.Ndiyo maana unawajuwa nje ndani.Sasa fata ushauri huu mwl.
1.Kwasababu unawafatilia maisha ya wapangaji wenzako nenda na wewe waka tap tap screen yako.
2.Hamia kota za shuleni kwako kama zipo.
3.Kopa ukajenge nawewe.
4.Ukishindwa yote hayo nenda ukawaulize wanamanisha nini.
 
Back
Top Bottom