mamitod
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 914
- 385
Wadau niwaulize,
Ulishawahi kupenda mpaka ukajiona zuzu? Nilimpa jamaa moyo wangu mwisho wa siku tumeneemeka akaanza kudokoa nje. Amesahau viapo ahadi na hata familia. Anarudi home kwa sababu zake. Nimechoka nina mpango nijiengue taratibu.
Na kama yumo humu ajue habari ndio hiyo