Nikikumbuka huwa nacheka sana

Anza kuwa jeuri kwenye mapenzi dogo utaenjoy sana, hakuna kima atakutisha wala kukuyumbisha..!! ๐Ÿ˜‚
Af mm sio dogo, jambakus ww๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ, ww ndo utakua dogo! Unajeuri huyajui mapenzi mpk upigwe na vitu vizito ndo uje kuheshimu hisia za watu.
 
naona vicheko vimetawala humu ndani,

ngoja nami nicheke๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Eti mwanaume anacheeeka, anacheeeka mpaka anacheeka tena ndo mwanaume gani huyu sasa
 
Baada ya wiki tatu akasema ana mimba ...๐Ÿ˜๐Ÿ˜Mkuu ww na yeye pipa na mfuniko Bora muoane tu mchekeshane zaidi
 
Wifi huyu jamaa nimempenda ana mapenzi mazito na huyo mwanamke, pamoja na changamoto ya uzazi lakini bado anakomaa naye ila ana kauoga flani..!!
Achukue jiko hilo wote wanapendana hao ๐Ÿ˜Š
Sina kauoga shemeji, kwa sasa kuna dawa anakunywa kidonge kimoja 10,000 ila navichukua sehemu wananiuzia 7000 maana ni daily dozi. Imani yangu ipo kwenye miziz nikipata mtaalamu tu najua atakaa sawa. Kuna babu yangu tulimpeleka hospital wakasema hali yake haitibiki tumlee tu mpaka afe lakini sangoma alicheza nae mpaka sasa yupo poa kiasi lakini sio kama alipokuwa anatumia dawa za hospital alikatisha matumaini. so nina imani hakuna kinachoshindikana. Uzuri alikuwa mkweli hakutaka kunijaza ndio maana nahangaika nae, mabinti wengine angeficha na akawa analalamika kwa nini hashiki mimba kumbe anajua chanzo. Kwa sasa ana 32 yrs and i am not abandoning her no matter what, japo kwa sasa ni kama rafiki ila kwa kuwa maisha hayatabiriki you never know what is in the store for you.
 
Baada ya wiki tatu akasema ana mimba ...๐Ÿ˜๐Ÿ˜Mkuu ww na yeye pipa na mfuniko Bora muoane tu mchekeshane zaidi
Usijenge maana, nimesema baada ya wiki tatu nilipoondoka kule sio tangu nifanye nae mahaba. Umeelewa au wazazi wakadai ada walikokusomesha?
 
Sina kauoga shemeji, kwa sasa kuna dawa anakunywa kidonge kimoja 10,000 ila navichukua sehemu wananiuzia 7000 maana ni daily dozi. Imani yangu ipo kwenye miziz nikipata mtaalamu tu najua atakaa sawa. Kuna babu yangu tulimpeleka hospital wakasema hali yake haitibiki tumlee tu mpaka afe lakini sangoma alicheza nae mpaka sasa yupo poa kiasi lakini sio kama alipokuwa anatumia dawa za hospital alikatisha matumaini. so nina imani hakuna kinachoshindikana. Uzuri alikuwa mkweli hakutaka kunijaza ndio maana nahangaika nae, mabinti wengine angeficha na akawa analalamika kwa nini hashiki mimba kumbe anajua chanzo. Kwa sasa ana 32 yrs and i am not abandoning her no matter what, japo kwa sasa ni kama rafiki ila kwa kuwa maisha hayatabiriki you never know what is in the store for you.
Muoe na Mungu atawaajalia uzao inshallah!! ๐Ÿ™
Nimependa mapenzi yenu mko real sana.!!
Pamoja na kutengana kwa miaka miwili lkn bado mnaonyesha mnapendana km mmeonana leo.. hiyo ni true love bro ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom