Nigeria: Marekani kurudisha zaidi ya Tsh. Bilioni 53 zilizochukuliwa na Sani Abacha

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,428
8,244
Zaidi ya Tsh. Bilioni 53 zilizochukuliwa na mtawala wa zamani wa kijeshi Sani Abacha, zitakabidhiwa kwa serikali ya Nigeria baada ya nchi hizo mbili kutia saini makubaliano.

Balozi wa Marekani nchini humo, Mary Beth Leonard alisema pesa hizo zilikuwa kwenye akaunti za Uingereza lakini zilitambuliwa na kuhifadhiwa na Marekani.

Nigeria imefikia makubaliano na nchi kadhaa kuhusu urejeshaji wa pesa zilizochukuliwa na viongozi wa nchi hiyo. Taasisi ya Transparency International ilikadiria kuwa Sani Abacha alichukua fedha za umma zinazofikia Tsh. Trilioni 10 na hakuwahi kushtakiwa.

==============================

The United States will turn over to Nigeria $23 million taken by former military ruler Sani Abacha, officials said at an event to sign the agreement on Tuesday.

Nigeria has reached several agreements to return stolen cash in recent years. Abacha ruled Africa's most populous nation and top oil exporter from 1993 until his death in 1998, during which time Transparency International estimated that he took up to $5 billion of public money. He was never charged.

U.S. Ambassador Mary Beth Leonard said the cash was in UK accounts but was identified and frozen by U.S. officials. She added that including the latest deal, the United States had agreed to repatriate more than $334.7 million linked to Abacha.

Attorney General Abubakar Malami said the funds would be used for infrastructure projects, including the Abuja-Kano road, the Lagos-Ibadan Expressway and the second Niger bridge under the supervision of the Nigerian Sovereign Investment Authority (NSIA).

"The president's mandate to my office is to ensure that all international recoveries are transparently invested and monitored by civil society organizations to compete for these three projects within the agreed timeline," Malami.

The U.S. Justice Department has previously said that Nigeria must use money repatriated from funds looted by Abacha on agreed public projects or be forced to "replace" it Nigeria could have to 'replace' $300 mln Abacha loot if mis-used - US.

(Reporting By Camillus Eboh and Ardo Hazzad, writing by Libby George; Editing by Cynthia Osterman)
 
Itakuwa vyema na haki kama watarejesha na riba maana wameshazungushia sana kama mtaji na kupiga fedha nyingi.
Kwani wao ndio walimwambia awaibie wananchi wake aliyokuwa akiwatawala kimabavu na kisha akazifiche huko.

Waafrika sisi ni watu bogus kabisa, hata Chenge naye angepata urais pia angetufanyia hivyo hivyo, sasa wazungu wangekuwa kama sisi au kama waarabu wangezirudisha kweli.!

Hata Amin alipokufa huko Saudi Arabia alikokuwa amekimbilia hela zake alizowaibia waganda waarabu walizilalia tu.
 
Back
Top Bottom