Niagize chochote Dubai

IDDY S MHANDO

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
9,792
12,580
Ndugu zangu awali ya yote ni washukuru Wana jamiiforums wote ambao mliguswa na changamoto yangu iliyo nikuta ambayo ilipelekea kuandika Uzi uliotafsiliwa kama nimekata tamaa😭😭😭 Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!

Kwakweli kipindi naandika huo Uzi nilikuwa kwenye msongo mkali sana wa mawazo...! Kwasasa akili yangu imetulia...!

Miaka 3 ilivyo pita nilikuwa natafuta fursa za kazi nchi za nje...kwa bahati nzuri mwaka huu Nika bahatika kupata safari kwenye falme za kiarabu huku Dubai kwa hivi sasa nipo Dubai napambana Uzi wangu huu ni rejea nzuri 🤣🤣🤣🤣

Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

Huku Dubai Kuna fursa za bidhaa nyingi ambazo bei zake ni za Hali ya chini sana...hivyo kama Kuna wafanya biashara/mfanyabiashara anahitaji bidhaa yoyote kutoka Dubai Nina weza Nika kusaidia kwa niaba Yako nikakununulia bidhaa unayo itaka na kukutumia ndani ya muda mchache.

Kwa bidhaa chache ndani ya masaa 72 unakuwa umepata mzigo wako...!

Hivyo hakuna aja ya wewe kufunga safari kuja huku...nipo nitafanya hivyo kwaajili Yako...!

IMG_20240512_211736_4.jpg

Mnao hitaji simu, perfume za aina zote, computer, vifaa vya magari, vifaa vya umeme niagize nitakutumia mzigo wako ndani ya muda mchache kwa uaminifu wa Hali ya juu...!

Kwa mawasiliano mnaweza kunipata kwa namba zangu za Whatsapp +971581480619...!

Au kama unacho kifurushi Cha international call unaweza kunipata kwa namba hizo hizo +971581480619...!

IMG_20240513_165017_7.jpg

Kuna bidhaa mbali mbali ambazo nitakuwa naziweka humu na bei hizi kwa kwa ndugu zangu wa jamiiforums tu. Nafanya hivyo kuweka bei za chini kama shukrani zangu kwa ndugu zangu kwa mchango wenu ambao tumekuwa tukipeana.​

Hiyo laptop utanipata kwa 380,000/= navunja bei...huu mzigo ni used iliyo tumiwa na watu walio staarabika...!

IMG_20240525_201412_645.jpg
hard-disk Gb 500 nitakuuzia kwa bei jumla kuanzia PC 50 kwa shilingi 19,000/= tu PC 1 ni shilingi 25,000/=

IMG_20240525_201232_70.jpg

Pia Kuna simu za aina mbali mbali ambazo nitajitahidi kuvunja bei...ili Kila mwana jamiiforums asikosekane hewani...!
IMG-20240525-WA0004_1.jpg

Usiache kuniagiza...nitumie chochote hata ukitaka gari sema🤣🤣🤣🤣
IMG-20240525-WA0005_1.jpg

Zipo RAM za ukubwa mbali mbali
Njoo uvunje bei tufanye biashara...
IMG_20240525_201152_321.jpg

wafanya biashara mliopo dar es salaam nawakaribisha sana tufanye biashara Haina haja ya wewe kuja Dubai...Mimi nipo huku kwaajili Yako.
IMG-20240526-WA0004.jpg
njoo na offa ya 100,000/= nikupe kifaa hicho Cha kijanja...kabisa kina speed kubwa ya internet...unaunganisha Hadi watumiaji 10 na zaidi kwa speed kubwa...! Inatumia laini ya mtandao wowote...!
IMG-20240524-WA0028.jpg

Ukihitaji order kuanzia 20 bei itashuka zaidi...!
Haina aja ya kufanya simu Yako iishiwe na charge kwa kuiwasha hotspot nakuletea hotspot ya kijanja...kwa elfu 70 inatumia laini zote...Ina kaa na charge muda mrefu na Ina Kasi ya mbs 100
IMG-20240524-WA0025.jpeg


njoo tuzungumze kuhusu biashara usiwaze kuja Dubai Mimi nipo huku kwaajili Yako +971581480619​
 
Safi sana mpambanaji nje ya mada unawezankushare na sisi ulifanikiwa lje kulwenda huko nani alikusaidia kama ni agent au ulijisimamia show wewe mwenyewe.
Pili vipi ulipofika huko swala la kazi ilikuwaje na ulipataje na vipi maslahi ya huko kazi zipi au ujuzi zinalipa zaidi huko..!
 
Safi sana mpambanaji nje ya mada unawezankushare na sisi ulifanikiwa lje kulwenda huko nani alikusaidia kama ni agent au ulijisimamia show wewe mwenyewe.
Pili vipi ulipofika huko swala la kazi ilikuwaje na ulipataje na vipi maslahi ya huko kazi zipi au ujuzi zinalipa zaidi huko..!
Dubai kufika sio challenge sana kwasababu ni nchi inayotegemea wageni ili kujieendesha
kwa hapa bongo ukiwa na 1.5m inatosha sana hapo tiketi ya ndege ni go and return + visa
 
Samahani wewe ndio prince muhando?
Upo dubai mji gani?
Within 2 months umejua masoko yte. Na ulikua umekata tamaa while was just a one time thing ww kuchange. Kaaah!
Bado sijayajua yote ila huku nilipo nipo na watu wazoefu wa biashara...faida niliyoipata kwenye safari yangu hii moja wapo ni kukutana na vijana wapambanaji ambao wamejiajiri kwenye biashara na ni watanzania...!

Na sehemu ninazo ishi ambayo naweza kusema ni uswahilini panaitwa Al murar.. hapa ni kama kariakoo kwa huko Tanzania...!

Kwa kifupi zaidi Dubai yote ni mji wa biashara...Kuna biashara mji nzima maduka ya Kila aina...yapo Dubai nzima...!​
 
Safi sana mpambanaji nje ya mada unawezankushare na sisi ulifanikiwa lje kulwenda huko nani alikusaidia kama ni agent au ulijisimamia show wewe mwenyewe.
Pili vipi ulipofika huko swala la kazi ilikuwaje na ulipataje na vipi maslahi ya huko kazi zipi au ujuzi zinalipa zaidi huko..!
Nilifanya utafiti nikagundua zama za kutegemea maagent kwenye utandawazi wa kitechnolojia zimepitwa na wakati. Nilisubiri miaka 4 bila mafanikio kwa kutegemea agents.

Ili ufanikiwe ni lazima uwe na pesa hata hao maagent ni lazima utawalipa...hakuna agent atakae kusaidia Bure.

Mimi nilijipanga Nika tafuta pesa zangu mwenyewe...

Nikakata visa.. agent nilimtumia airfox safari walisimamia visa na ticket...ndege nilitumia air TanzaniA...!

Ajira nchi za falme za kiarabu zipo...ajira ni nyingi mno ila lazima utulize kichwa...! Dubai mwanamke kukutongoza ni jambo LA kawaida sana...ukiingia kichwa kichwa visa inaisha muda ukiwa hujapata chochote...!
IMG_20240510_193242_200.jpg
 
Back
Top Bottom