Ni utamaduni sahihi kwa Marais kuteua viongozi wakiwa nje ya nchi? Inaleta taswira chanya?

Tumeona teuzi za jana na leo zimefanyika kutokea Doha Qatar. Je ni jambo sahihi viongozi wa Afrika kwenda kufanyauteuzi nje ya mataifa yao ikiwa hali ya usalama na kisiasa ni tulivu?

Historia inayoonyesha kuna viongozi wengine wamewahi kuwa na huu utaratibu?
Raisi ni ofisi sio mtu mkuu, ofisi haijasafiri mkuu.
 
Tumeona teuzi za jana na leo zimefanyika kutokea Doha Qatar. Je ni jambo sahihi viongozi wa Afrika kwenda kufanyauteuzi nje ya mataifa yao ikiwa hali ya usalama na kisiasa ni tulivu? Historia inayoonyesha kuna viongozi wengine wamewahi kuwa na huu utaratibu?

BAVICHA munatapatapa hadi huruma 😁😁 uteuzi ulifanyika kabla rais hajaondoka Tangazo limetoka Ameondoka sasa tatz liko wapi?

Au basi tufanye amemteua huko qatar, enhee kwahy sio msemaji? Au teuzi haijapita? Mengne mukalie kimya basi mupunguze kujiabisha kwa kutoa hoja za kitoto.
 
BAVICHA munatapatapa hadi huruma 😁😁 uteuzi ulifanyika kabla rais hajaondoka Tangazo limetoka Ameondoka sasa tatz liko wapi? Au basi tufanye amemteua huko qatar, enhee kwahy sio msemaji? Au teuzi haijapita? Mengne mukalie kimya basi mupunguze kujiabisha kwa kutoa hoja za kitoto.
Akili za konokono always zitachelewa kuelewa tu........ficha ujinga wako na jifunze kujiupdate

Ametoa mkeka mwingine tena umeandikwa Doha.....tuambie nao umetokaje kama siyo signature from Doha

Usiwaze negative always.....tunataka kujifunza siyo kukosoa kila mada. Experience inaonyeshaje?
 
Tumeona teuzi za jana na leo zimefanyika kutokea Doha Qatar. Je ni jambo sahihi viongozi wa Afrika kwenda kufanyauteuzi nje ya mataifa yao ikiwa hali ya usalama na kisiasa ni tulivu?

Historia inayoonyesha kuna viongozi wengine wamewahi kuwa na huu utaratibu?
Magufuli alikuwa anateulia chato
Nb: kuna watu walikuwa wanapinga maendeleo kupelekwa chato, pengine chato haikuwa Tanzania

Kwahio ni sawa na kwa samia pia
 
Àhhh viongoz wa kiafrika hawapendi nchi zao,Ila wanapenda madaraka ya nchi zao
Sijawahi sikia Obama ama Biden akiteua akiwa nje ya USA
 
Tumeona teuzi za jana na leo zimefanyika kutokea Doha Qatar. Je ni jambo sahihi viongozi wa Afrika kwenda kufanyauteuzi nje ya mataifa yao ikiwa hali ya usalama na kisiasa ni tulivu?

Historia inayoonyesha kuna viongozi wengine wamewahi kuwa na huu utaratibu?
inasaidia nini hiyo taswira?

kwani ni Lazima kuiga utaratibu wa kiongozi mwingine? Ili iweje
 
Tumeona teuzi za jana na leo zimefanyika kutokea Doha Qatar. Je ni jambo sahihi viongozi wa Afrika kwenda kufanyauteuzi nje ya mataifa yao ikiwa hali ya usalama na kisiasa ni tulivu?

Historia inayoonyesha kuna viongozi wengine wamewahi kuwa na huu utaratibu?
How do you question her presidential decree?!!!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Tumeona teuzi za jana na leo zimefanyika kutokea Doha Qatar. Je ni jambo sahihi viongozi wa Afrika kwenda kufanyauteuzi nje ya mataifa yao ikiwa hali ya usalama na kisiasa ni tulivu?

Historia inayoonyesha kuna viongozi wengine wamewahi kuwa na huu utaratibu?
---

- Rais Samia ateua Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria
Kwani tangazo hilo limewekewa anuani ya huko Doha Qatar?
Hoja hapa ingekuwa kutaka kujua uhalali wa hiyo ofisi ya Doha Qatar??
Au Katiba inasemaje??
 
Back
Top Bottom