Uncle bright
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 1,040
- 4,118
Inashangaza kuona Saudi Arabia inayosifika kuwa nchi tajiri ya kiarabu kuona kiasi pekee walichochangia ni dola milioni 133 tu kuisaidia Gaza.
Saudi Arabia imebarikiwa mafuta, visima vingi vinamilikiwa na wanafamilia wa kifalme na ndugu zao (royal family), huonyesha ufahari wao kwa kutumia pesa za visima vyao kununua lundo la magari ya kifahari, kununua visiwa, kununua wachezaji wa ulaya kwa mamia ya mabilioni, n.k.
wakati huo Saudia imewasaidia ndugu zao huko Gaza dola milioni 133, Seneti ya Marekani imeisadia Gaza dola bilioni 9 , na sijui kwanini huu msaada huwa unafichwa unatajwa tu msaada wa dola bilioni 14 waliopewa Israel.
Msaada wa dola milioni 133 bado ni mdogo sana hasa ukizingatia waarabu wa Gaza ni kama ndugu zao, tunaona waarabu wakiiongelea sana Gaza kwenye mitandao ya kijamii lakini kwanini hawatoi misaada ?