kibarango
Senior Member
- Sep 6, 2014
- 146
- 308
Babu tangu yuu na miaka 98. Namuonaga kama amepungukiwa utambuzi kwa umri na afya yeke hukazania mambo mawili kila siku.Nyerere hakuwa mzanaki kama inavyojulikana.nyerere alikuwa ni msukuma mzaliwa wa shigala,ambayo kwa sasa ipo ktk wilaya ya busega mkoa wa simiyu.mpk nyerere anafariki,kuna makabuli pale aliyah jenga kipindi akiwa waziri mkuu.na alikuwa haachi kuja kuyasafisha.
1. Rais Nyerere ni msukuma wa Nassa Busega Simyu.
2. Rais mwinyi ni msukuma wa Kayenze, Ilemela Mwanza.
Ukimuuliza ufafanuzi hata haelewi.
Na Kikwete ni mkwere ali wakwere wengi ni waha na wakongo.
Babu bwana.
Mungu ampe miaka mingu.
Sent from my A002SH using JamiiForums mobile app