Tetesi: Ni nini faida za CWT Kwa wanachama wake ambao ni walimu

Kama Uzi unavyojieleza. Chama Cha walimu Tanzania (CWT), kimeanzishwa zaidi ya miaka 40 iliyopita. Ninaomba wanachama wa CWT waeleze faida za CWT Kwa wanachama wao ambao ni walimu
Pili ninaomba kujua asilimia 2% inayokatwa kutoka Kwa mwalimu ambaye ni mwanachama zinamfaidisha nini mwalimu au mwanachama ambaye ni mwalimu?
Tatu, ni nini hatima ya wanachama wa CWT iwapo wanachama wataamua kujiondoa uanachama?
Mwisho makusanyo ya mabilioni kutoka kwenye mishahara ya walimu kwenda CWT kwanini hayatumiki kusomesha walimu walioko vyuoni ili wakija kuajiriwa wawe wanachama wao.
Faida ya CWT ni pale mwanachama anapopatwa na shida za kifedha anasaidiwa kuombewa mkopo kwenye taasisi zenye riba kubwa kmmzo.
 
Back
Top Bottom