Ni ngumu sana kukuta wenye akili au uwezo mzuri ni mashabiki wa Simba na Yanga

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,467
23,749
Nilipogundua hili nikawa sasa naangalia faida zaidi katika kuzishabikia hizi teams. Hakuna mwenye akili anashabikia hizi teams. Au mwenye uwezo mzuri kiuchumi

Ukiona hawa wenyewe uwezo wapo hizi teams ujue wapo kimaslah either kiuchumi au kisiasa. Sasa wewe bwege unaweza kaa hapo unakazana na maneno kama kuitana Mikia mara Nyuma Mwiko. Wenzako wanapiga pesa kupitia ubwege wako.

Na wenye kufaidika nazo sana kipesa huwaoni wakipiga kelele. Jidanganye kuwa GSM na Mo Dewj wanazifadhili hizi teams sababu wana mapenzi nazo. Bwege wewe. Wanazifadhili hizi teams sababu zinawalipa kiuchumi kupitia mashabiki maandazi kama wewe.

Kuna mashabiki wa hizi teams wana kelele sana mitaani na kwenye mitandao huku wanapata mlo mmoja kwa siku au unakuta ni watu wazima lakini bado wanaishi kwao au wanalelewa na wazazi wao.

Hawa huwa wanakelele sana mitandaoni. Na huwa ni mashabiki kwelikweli. Hawafikirii jambo lolote isipokuwa Simba na Yanga. Wakati Hersi na Mangungu wao wanajineemesha kiuchumi kuna bwege kilaza mmoja yeye ni Simba na Yanga damu ana bwabwaja tu akitaka kusahau shida zake kupitia hizi teams.

Fanya utafiti ni matajiri wangapi wamewahi kuzimia au kufa kwa sababu ya hizi teams kushinda au kushindwa? Nadra sana. Lakini kuna vidampa wengi tu utakuta wanazimia na kufa kwa sababu ya hizi teams.

Hizi teams hutumika pia kisiasa. Ni teams ambazo watanzania wanaweza bishania kwa siku nzima wakasahau kujadili kupanda kwa bei ya mafuta, sukari, mchele, kikokotoo, mafao, tozo n.k

Huwezi wakuta watanzania wanalalamikia hayo. Ila watabishana sana kuhusu hizi two teams. Ndo utagundua wengi akili hawana. Mimi ni mshabiki wa kutupwa wa Dar Young Africans. Mnanifahamu humu. Na kuna kipindi nikiwa na stress najifichia kwenye mpira na ubishani wake.

Lakini toka nimeanza kuwa na maisha mazuri (mama anaupiga mwingi) mmeona hata kwa sasa sina nyuzi nyingi za kukaa kuwaponda mikia au mbumbumbu. Siku hizi nikiitwa nyuma mwiko naagiza beers zangu nakunywa huku nacheka tu.

Kuna kufungwa Yanga mara mbili kulinieletea maokoto maana nilibet against sikubet kishabiki. Watu wakashangaa nimefungwa ila ninafuraha kumbe nilimpiga Mhindi.

Na hizi teams huo mchezo wakuuza match upo sana watu wanazingatia maokoto. So hao viongozi mara nyngi hawana uchungu kama ninyi akina pangu pakavu tia mchuzi.

Hizi teams zinatumika zaidi kisiasa na kiuchumi. Wenye akili tulishagundua nyie kalagha bao ndo mnahangaika sana na kushinda kwa waganga na kubeba mahirizi. Mwishoni mnazidiwa na dawa na kuanguka au kuzimia huku wengine wakiaaga dunia kabisa.

Endeleeni sisi wengine tumeshakaa Radar Mjini hapa. We tegesha tu kama goal keeper. Fainali ipo uzeeni.
 
Comments reserved
 
Huna hoja uto. Kuna watu wana maisha magumu na hawafuatilii mpira achilia mbali simba na yanga.

Kama unaamini kabisa watu zaidi ya elfu 40 wanaoingia pale kwa mkapa kushabikia simba au yanga wote umewazidi uwezo, utakuwa na akili kisoda.
 
Halafu unayeandika haya kwa hiyari kabisa unajiita chizi maarifa, ambaye atakubishia anakukosea, uko sahihi.

Kukubishia wewe ni sawa na kitendo cha kumfuata kichaa jalalani anakula uchafu, na kumwambia siyo sahihi.
 
Ukiona mtu anatembelea kwenye jukwaa la sports Moja kwa moja huyo ni shabiki wa timu moja wapo kati ya hizo. Kwahiyo mm na mleta mada na wengine katika jukwaa hili kwa ujumla ni mabwege
 
Kuna wenye akili kuzidi maprofessor na wafanyabiashara wakubwa? Maprofesa wenyewe tangu enzi utawakuta na viredio wanasikiliza mpira! Tena wanafuatilia mpaka kwenye magazeti! Wafanyabiashara wakubwa kina GSM. Mo dewji bakhressa ndiyo kabisa mpaka na kuwekeza wamewekeza! Unaongea urojo gani?
 
Nilipogundua hili nikawa sasa naangalia faida zaidi katika kuzishabikia hizi teams. Hakuna mwenye akili anashabikia hizi teams. Au mwenye uwezo mzuri kiuchumi

Ukiona hawa wenyewe uwezo wapo hizi teams ujue wapo kimaslah either kiuchumi au kisiasa. Sasa wewe bwege unaweza kaa hapo unakazana na maneno kama kuitana Mikia mara Nyuma Mwiko. Wenzako wanapiga pesa kupitia ubwege wako.

Na wenye kufaidika nazo sana kipesa huwaoni wakipiga kelele. Jidanganye kuwa GSM na Mo Dewj wanazifadhili hizi teams sababu wana mapenzi nazo. Bwege wewe. Wanazifadhili hizi teams sababu zinawalipa kiuchumi kupitia mashabiki maandazi kama wewe.

Kuna mashabiki wa hizi teams wana kelele sana mitaani na kwenye mitandao huku wanapata mlo mmoja kwa siku au unakuta ni watu wazima lakini bado wanaishi kwao au wanalelewa na wazazi wao.

Hawa huwa wanakelele sana mitandaoni. Na huwa ni mashabiki kwelikweli. Hawafikirii jambo lolote isipokuwa Simba na Yanga. Wakati Hersi na Mangungu wao wanajineemesha kiuchumi kuna bwege kilaza mmoja yeye ni Simba na Yanga damu ana bwabwaja tu akitaka kusahau shida zake kupitia hizi teams.

Fanya utafiti ni matajiri wangapi wamewahi kuzimia au kufa kwa sababu ya hizi teams kushinda au kushindwa? Nadra sana. Lakini kuna vidampa wengi tu utakuta wanazimia na kufa kwa sababu ya hizi teams.

Hizi teams hutumika pia kisiasa. Ni teams ambazo watanzania wanaweza bishania kwa siku nzima wakasahau kujadili kupanda kwa bei ya mafuta, sukari, mchele, kikokotoo, mafao, tozo n.k

Huwezi wakuta watanzania wanalalamikia hayo. Ila watabishana sana kuhusu hizi two teams. Ndo utagundua wengi akili hawana. Mimi ni mshabiki wa kutupwa wa Dar Young Africans. Mnanifahamu humu. Na kuna kipindi nikiwa na stress najifichia kwenye mpira na ubishani wake.

Lakini toka nimeanza kuwa na maisha mazuri (mama anaupiga mwingi) mmeona hata kwa sasa sina nyuzi nyingi za kukaa kuwaponda mikia au mbumbumbu. Siku hizi nikiitwa nyuma mwiko naagiza beers zangu nakunywa huku nacheka tu.

Kuna kufungwa Yanga mara mbili kulinieletea maokoto maana nilibet against sikubet kishabiki. Watu wakashangaa nimefungwa ila ninafuraha kumbe nilimpiga Mhindi.

Na hizi teams huo mchezo wakuuza match upo sana watu wanazingatia maokoto. So hao viongozi mara nyngi hawana uchungu kama ninyi akina pangu pakavu tia mchuzi.

Hizi teams zinatumika zaidi kisiasa na kiuchumi. Wenye akili tulishagundua nyie kalagha bao ndo mnahangaika sana na kushinda kwa waganga na kubeba mahirizi. Mwishoni mnazidiwa na dawa na kuanguka au kuzimia huku wengine wakiaaga dunia kabisa.

Endeleeni sisi wengine tumeshakaa Radar Mjini hapa. We tegesha tu kama goal keeper. Fainali ipo uzeeni.
Hoja yako ina uwalakin
 
Hiyo Hirizi ninayoibeba ndiyo ilinifanya hadi Nikakuingilia na Kukujeruhi vibaya huko Kunako 'Unyabengani' Kwako. Umesahau?

Nilipoona hii post nimekumbuka ushauri alionipa babu kwenye harusi ya mjomba wangu tukiwa tumekaa karibu na bendi ya muziki. Muziki ulikuwa mkubwa sana hadi sikuweza kusikia alichokisema🙄🙄
 
Nilipogundua hili nikawa sasa naangalia faida zaidi katika kuzishabikia hizi teams. Hakuna mwenye akili anashabikia hizi teams. Au mwenye uwezo mzuri kiuchumi

Ukiona hawa wenyewe uwezo wapo hizi teams ujue wapo kimaslah either kiuchumi au kisiasa. Sasa wewe bwege unaweza kaa hapo unakazana na maneno kama kuitana Mikia mara Nyuma Mwiko. Wenzako wanapiga pesa kupitia ubwege wako.

Na wenye kufaidika nazo sana kipesa huwaoni wakipiga kelele. Jidanganye kuwa GSM na Mo Dewj wanazifadhili hizi teams sababu wana mapenzi nazo. Bwege wewe. Wanazifadhili hizi teams sababu zinawalipa kiuchumi kupitia mashabiki maandazi kama wewe.

Kuna mashabiki wa hizi teams wana kelele sana mitaani na kwenye mitandao huku wanapata mlo mmoja kwa siku au unakuta ni watu wazima lakini bado wanaishi kwao au wanalelewa na wazazi wao.

Hawa huwa wanakelele sana mitandaoni. Na huwa ni mashabiki kwelikweli. Hawafikirii jambo lolote isipokuwa Simba na Yanga. Wakati Hersi na Mangungu wao wanajineemesha kiuchumi kuna bwege kilaza mmoja yeye ni Simba na Yanga damu ana bwabwaja tu akitaka kusahau shida zake kupitia hizi teams.

Fanya utafiti ni matajiri wangapi wamewahi kuzimia au kufa kwa sababu ya hizi teams kushinda au kushindwa? Nadra sana. Lakini kuna vidampa wengi tu utakuta wanazimia na kufa kwa sababu ya hizi teams.

Hizi teams hutumika pia kisiasa. Ni teams ambazo watanzania wanaweza bishania kwa siku nzima wakasahau kujadili kupanda kwa bei ya mafuta, sukari, mchele, kikokotoo, mafao, tozo n.k

Huwezi wakuta watanzania wanalalamikia hayo. Ila watabishana sana kuhusu hizi two teams. Ndo utagundua wengi akili hawana. Mimi ni mshabiki wa kutupwa wa Dar Young Africans. Mnanifahamu humu. Na kuna kipindi nikiwa na stress najifichia kwenye mpira na ubishani wake.

Lakini toka nimeanza kuwa na maisha mazuri (mama anaupiga mwingi) mmeona hata kwa sasa sina nyuzi nyingi za kukaa kuwaponda mikia au mbumbumbu. Siku hizi nikiitwa nyuma mwiko naagiza beers zangu nakunywa huku nacheka tu.

Kuna kufungwa Yanga mara mbili kulinieletea maokoto maana nilibet against sikubet kishabiki. Watu wakashangaa nimefungwa ila ninafuraha kumbe nilimpiga Mhindi.

Na hizi teams huo mchezo wakuuza match upo sana watu wanazingatia maokoto. So hao viongozi mara nyngi hawana uchungu kama ninyi akina pangu pakavu tia mchuzi.

Hizi teams zinatumika zaidi kisiasa na kiuchumi. Wenye akili tulishagundua nyie kalagha bao ndo mnahangaika sana na kushinda kwa waganga na kubeba mahirizi. Mwishoni mnazidiwa na dawa na kuanguka au kuzimia huku wengine wakiaaga dunia kabisa.

Endeleeni sisi wengine tumeshakaa Radar Mjini hapa. We tegesha tu kama goal keeper. Fainali ipo uzeeni.
Kwa hiyo Mo,Bakhresa, Spika wa Bunge, Gharibu Mohamed,Rage,nk hawana akili maana wana Uwezo mkubwa wa mali na akili.
Huna adabu kabisa
 
Back
Top Bottom