Ni nani anayepaswa kulipa mahari

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,977
5,934
Ndugu zangu.

Hivi ni nani anayepaswa kulipa mahari ili binti aolewe.

1: Je, ni kijana anayetaka kuoa ndiye anaye lipa
2: Au ni Baba mzazi wa kijana anayeoa ndiye anayemlipia kijana wake mahari ili aoe binti aliyempenda
 
Familia ya kijana anaetaka kuoa.
Inajulikana kama familia bila kujali hiyo fedha na mengineyo katoa nani ndani ya hiyo familia kwa sababu mkifika kule inatambulika ni familia ya bw fulani bin fulani kutoka mashati Rombo na si vinginevyo.

Kama nimekosea nirekebishwe.
 
Ndugu zangu .

Hivi ni nani anayepaswa kulipa mahari ili binti aolewe.

1: Je, ni kijana anayetaka kuoa ndiye anaye lipa

2: Au ni Baba mzazi wa kijana anayeoa ndiye anayemlipia kijana wake mahari ili aoe binti aliyempenda
Kulipa mahari ni udhalilishaji wa mwanamke!!!! Tupige vita hii mila, desturi, taratibu and whatever you call it!!!!
 
Ndugu zangu .

Hivi ni nani anayepaswa kulipa mahari ili binti aolewe.

1: Je, ni kijana anayetaka kuoa ndiye anaye lipa

2: Au ni Baba mzazi wa kijana anayeoa ndiye anayemlipia kijana wake mahari ili aoe binti aliyempenda
Muowaji
 
Kikubwa mali imelipwa na familia ya mwanaume haijalishi hiyo hela ametoa nani. Siku hizi wadada pia huwachangia wachumba wao mahali za kwenda kupeleka kwao.
 
Mimi Swalehe akifikisha miaka kumi na saba akitaka kuoa fresh tu

Ntatoa mahari ya kutosha

Dogo akaweke tu

Nmekuta kanacheki porno nlivinunulia tablet nlkawasha

Ila kimoyo moyo nafrahi dogo sio shoga
 
Anayeoa alipe mahari. Utachangishaje watu wakusaidie kukulipia mahari ya mwanamke unayeenda kuishi naye wewe!!?

Ya kwangu nilijilipia mwenyewe
 
Hili suala la kulipa mahali, kwamba wanaume huwa tumeokotwa, binti ndiye alilelewa anatakiwa alipiwe mahali ama. Kwa nini binti asilipe mahali kuswahukuru wazazi kwa kulea kijana mpaka akaon akuoa ni jambo jema maana siku hizi vijana wa kuoa wachache
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom