Ni kweli wanawake wenye wowowo kubwa wanakuwa hawana akili kichwani?

...the believe about yrself that you hold deeply in the subconscious mind have a tremendous effect on the reality you experience in your life...

...Kama mwanamke ataamini matako yake yana thamani kuliko akili yake Basi kuna uwezekano mkubwa wa akili zake zote zikaamia matakoni kichwani kukabaki matope tuu..
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mtoa post bado kuna vitu vinakanganya et akili zipi?
Za shule-kwamba hawajasoma?
Za maisha-hawajui kujitegemea ie kupambana kama ww vile unavyo jitafutia ridhiki?
Akili kila mtu anazo me nahisi wao ndo wanaakili nyingi kuliko....
 
Wewe Kagebby hutakaa ulione tako lako, ni watu ndiyo wataliona, na kukufuata fuata kama nzi hasa me'' na ofa zisizo kikomo! yaani ukienda Hosp, Dr lazima ajipendekeze, Kazini Boss hakufokei, Daladala conda atasema hatupakii ili upate seat!nk

Tako ni ua wanawake wenzio utasikia wakikumwagia misifa km hivi duu! hiki kiji-shape kingekuwa changu wangenikoma mtaani!!

AU km ni me'' una tako utasikia Mkeo anakwambia ''ungekuwa mwanamke ungeringa sana!''
Sasa yeye anajisifia, umeona wapi jaman ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ndio maana wanaambiwa akili hamnaga๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
 
Mtoa post bado kuna vitu vinakanganya et akili zipi?
Za shule-kwamba hawajasoma?
Za maisha-hawajui kujitegemea ie kupambana kama ww vile unavyo jitafutia ridhiki?
Akili kila mtu anazo me nahisi wao ndo wanaakili nyingi kuliko....
Aisee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Me nadhan wewe nawe Una wowowo kubwa sasa๐Ÿ™„
SA kama wana akili nyingi mbona hatuoni maisha Yao yakisonga?! Wanaishia kudanya Tu mjini?!
 
Utotoni ulikuwa ukipigwa stiki kwenye makalio ukilia unaambiwa unapigwa ujinga wako sio wewe. So kumbe ujinga unakaa matakoni, kwa hiyo huyo dada uliekutana nae huko nyuma kajaza ujinga tu
 
Hlo hakijapingwa ila sasa si unaelewa ukiwa na mwili mkubwa na matendo yako yanapimwa kwa akili...

Sasa una tako la haja ata kama amna mwili ila tako lipo inabdi na akili isome maana utakuwa unaonekana A lady with a BBw(Big Booty Woman) and a Watermelon Head
Wala halina ukweli, kuna madem ni wembamba kama wemba na kichwani hamna kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Me nadhan wewe nawe Una wowowo kubwa sasa๐Ÿ™„
SA kama wana akili nyingi mbona hatuoni maisha Yao yakisonga?! Wanaishia kudanya Tu mjini?!
Hapana mm potabooo! Kiasi kwamba upepo unaweza niacha si salama.
Ex wangu alikuwa nayo kubwa alinisaidia sana kupambana hadi nikatoboa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom