Ni kweli ukiwa unamuwaza mtu na yeye anakuwaza pia?

Sisa Og

Member
Apr 18, 2024
24
39
Miaka ya 2019 - 2020 nikiwa shule (advance) niliwahi kuzama kimapenzi na mtoto wa watu (alikua amehamia shuleni pale kwa muda).

Alikua karibu sana na mimi na tulishea mengi sana (lifestyle and background).

Nikagundua moyo ushazama kwake na yeye pia. Usiombe umzimie mtu naye afanye the same.

Nikapotezana naye bwana, nilimpa contact zangu, wakati tunafunga shule. Nafika home, laini zangu zote blocked.

Hakunipa contacts zake sababu hakua na laini official. Nafungua shule, manzi simuoni! Kufuatilia kumbe alihama shule.

Nikamaliza shule, hadi leo anaishi ndani ya moyo, nishakutana na wengine hapo kati ila pengo lake bado linavuja damu.

Kwao sipajui, najua wilaya tu anakotokea. Simuoni hata social medias, na sijui alihamia shule gani! Hata hivyo atakua ashamaliza.

Asanteni na samahani kwa uzi mrefu ila wenzunu napitia magumu.
 
My dearest Diana ............
I love you so much wewe unajua,nilikupotezea baada ya kuona umechange baada ya kupata kazi.

Now ni 2024 ningekuwa nishakuoa na tuna kababy kamoja

But sidhani Kama ulichange,labda ni inferiority na ego yangu tu.

I've never been happy since then coz we left each other while ukiwa unaumwa trigeminal neuralgia.

Sijui unaendeleaje asee ,AM SAD😥.

Nitakuja Handeni one day
 
Miaka ya 2019 - 2020 nikiwa shule (advance) niliwahi kuzama kimapenzi na mtoto wa watu (alikua amehamia shuleni pale kwa muda).

Alikua karibu sana na mimi na tulishea mengi sana (lifestyle and background).

Nikagundua moyo ushazama kwake na yeye pia. Usiombe umzimie mtu naye afanye the same.

Nikapotezana naye bwana, nilimpa contact zangu, wakati tunafunga shule. Nafika home, laini zangu zote blocked.

Hakunipa contacts zake sababu hakua na laini official. Nafungua shule, manzi simuoni! Kufuatilia kumbe alihama shule.

Nikamaliza shule, hadi leo anaishi ndani ya moyo, nishakutana na wengine hapo kati ila pengo lake bado linavuja damu.

Kwao sipajui, najua wilaya tu anakotokea. Simuoni hata social medias, na sijui alihamia shule gani! Hata hivyo atakua ashamaliza.

Asanteni na samahani kwa uzi mrefu ila wenzunu napitia magumu.
Tupo wengi wenye scenario kama yako huyo fanya kumpotezea tu.

Yatapita
 
Kama majina unayo utampata tu. Ila kwenye social media utakuta anajiita pretty nani sijui kazi kweli kweli.

Miaka hiyo nikiwa primary ilitokea scenario kama yako, nikiwa darasa la 3 A nilipangwa dawati moja na msichana mmoja mkimya, mpole mpaka kutembea na kuhema, kwangu mimi ndio ke wa kwanza kunivutia maishani japo nilikua bado mtoto, nilimkubali mno bila yeye kujua na kwa kipindi kile isingewezekana akajua but nilikuwa najiskia raha sana nikimuona.

Nikaumia mguu mpirani nikashindwa kufika shule kwa wiki nzima. Wiki iliyofuatia nakuja simuoni naambiwa kahama shule, sikuamini. Nilijiapiza nitamtafuta nijue kahamia wapi, mdogo wake na kaka zake bado nikaendelea kuwaona, sikuwa na uwezo wa kuwaface kuwauliza kumhusu. Kuna familia zimefanana mno nilikuwa nikimuona mdogo wake nafarijika sana, kwa ufupi niliwapenda ndugu zake niliokuwa nikiwaona. Mpaka namaliza darasa la 7 sikuwahi kujua alihamia wapi na likizo zote darasa la 3 mpaka 7 sikuwahi kumuona hata kanisani lakini ndugu zake nilikuwa nawaona(tulikuwa tunasali kanisa moja)

Nikiwa secondary bado nikaendelea kumtafuta kwa kumuulizia kwa classmates lakini mpaka namaliza form 6 sikuwahi pata info zozote. Nilitafuta sana jina lake kwenye social media bila mafanikio ya kumpata.

Finally nikiwa chuo 3rd year inaingia friend request facebook, jina lake kama lilivyo, nilishtuka ikabidi ni open profile kama n yeye kweli au n mtu mwingine mwenye jina kama lake, ikawa ni yeye. Nilifurahi mno tukabadilishana namba maisha mengine yakaendelea..
Never give up.
 
Very inspired story ndugu yangu. Naamini wakati unamuwaza na yeye alikua anafanya the same.
 
Back
Top Bottom