Ni kweli kwamba mtu anayetumia vyema ARV kipimo cha kujipima cha damu huwa hakioneshi ni muathirika?

MWANAHARAKATI MWEMA

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
209
303
Nimeona nije nipate michango ya wanajamvi kutokana na kwamba jukwaa hili Lina wasomi na madaktari wengi.

Kwasasa vijana wengi tumeangukia kwenye wimbi la kujipima na Kula tunda kavu, ata huko Kwa Malaya utaratibu ni huo wao wanakuwa na vipimo vyao mnapima kisha mnakulana.

Sasa kuna mtu mmoja ameniambia kwamba watumiaji wazuri wa ARV inafikia stage ambayo kipimo hakioneshi ni MUATHIRIKA sasa nimejiuliza maswali sanà kwamba kama ndivyo maana yake watu wataambukizwa Kwa kuamini kipimo.

Kama hali hiyo ni ya kweli bhasi tutakuwa na wagonjwa wengi siku zijazo Kwa maana mtu ukimpima Leo unapomla kavu unakuwa huna wasiwasi hivyo michubuko hutojali na utatumia ujuzi wako kumuonesha kuwa unayajua mapenzi kumbe mwenzio dawa zimemkubali.

Naomba kama kuna mtu anao ufahamu kubusu hili atujuze maana naisi tutaisha Kwa kuamini kipimo, hapa nazingumzia siku umempima ndio siku umemla sio mahusiano ya muda hapana, Kwa lagha nyingine ni eat and run.

Asanteni.
 
Kama kipimo hakionyeshi inaitwa UNDETECTABLE.

Mtu akiwa katika hali hiyo hawezi kuambukiza.
 
pole sana ila nikwambie tu hata kama kipimo hakitaonyesha basi mdudu bado unae mwilini mzee hata ufanyeje ww jifariji usubiri siku yako ya kufa..... ova

hukutumwa ushobokee k chafu usizozijua
What if you die before him?
Looks like HIV is a death warranty to you, isn't it?
Beware death, for nobody shall be spared.
Everybody for himself, God for us all.
 
Nimeona nije nipate michango ya wanajamvi kutokana na kwamba jukwaa hili Lina wasomi na madaktari wengi.

Kwasasa vijana wengi tumeangukia kwenye wimbi la kujipima na Kula tunda kavu, ata huko Kwa Malaya utaratibu ni huo wao wanakuwa na vipimo vyao mnapima kisha mnakulana.

Sasa kuna mtu mmoja ameniambia kwamba watumiaji wazuri wa ARV inafikia stage ambayo kipimo hakioneshi ni MUATHIRIKA sasa nimejiuliza maswali sanà kwamba kama ndivyo maana yake watu wataambukizwa Kwa kuamini kipimo.

Kama hali hiyo ni ya kweli bhasi tutakuwa na wagonjwa wengi siku zijazo Kwa maana mtu ukimpima Leo unapomla kavu unakuwa huna wasiwasi hivyo michubuko hutojali na utatumia ujuzi wako kumuonesha kuwa unayajua mapenzi kumbe mwenzio dawa zimemkubali.

Naomba kama kuna mtu anao ufahamu kubusu hili atujuze maana naisi tutaisha Kwa kuamini kipimo, hapa nazingumzia siku umempima ndio siku umemla sio mahusiano ya muda hapana, Kwa lagha nyingine ni eat and run.

Asanteni.
✍️✍️ Ana andika Dr am 4 real PhD ukifanya kipimo Cha ukimwi Cha awali ukawa nao then tunapima kwa kipimo kinaitwa HIV UNGOLD TEST hiki Ni for confirmation majibu lazima yatakua Ni Yale Yale hata ukimeza ARV's
 
Kwahiyo Dr katika utaalam wako watu wanaomeza dawa Kwa usahihi ukimpima kipimo kinaonyesha mistari mitatu.au miwili.
 
Kama kipimo hakioni viral load basi pia ni ngumu ww kuathirika, probability inashuka. Lkn pia unajua vipimo hvohvo ndo vinatumika mahospitalini?

Nimeiba nondo kutoka kwa mtaalam mwenyewe DR Mambo Jambo njoo umwage madini doctor
Haya mavipimo Kuna muda yanazingua mfano Mimi nikijipimaga Malaria kwa kutumia MRDT ama UTI Kwa kutumia ulinalysis multstick unakuta una homa lakini mavipimo Kama haya ma RAPID TEST Kuna muda hayatoi majibu sahihi..
 
Back
Top Bottom