Ni hatua gani za kufuata ili kuishtaki kampuni binafsi ambayo imenitapeli

Azniv Protingas

JF-Expert Member
Oct 29, 2020
286
428
Kama kichwa kinavyoelezea hapo juu, kuna kampuni moja binafsi imenitapeli kiasi cha pesa. Sasa naomba kujua nawezaje kufungua kesi na kuishtaki ili niweze kupata haki yangu.

Pesa yenyewe ninayowadai ni kidogo (250,000) ndio maana nasita kwenda kushtaki kwa kuhofia kuwa kunaweza kuwa na gharama kubwa zaidi kuliko kile kiwango ninachodai.
 
Funguka sasa hili wajuzi wapime nguvu ya ushahidi ulionao.

Isijekuwa umeingia mwenyewe kwenye domo la mamba.
 
Kama kichwa kinavyoelezea hapo juu, kuna kampuni moja binafsi imenitapeli kiasi cha pesa. Sasa naomba kujua nawezaje kufungua kesi na kuishtaki ili niweze kupata haki yangu.

Pesa yenyewe ninayowadai ni kidogo (250,000) ndio maana nasita kwenda kushtaki kwa kuhofia kuwa kunaweza kuwa na gharama kubwa zaidi kuliko kile kiwango ninachodai.
Usiposema imekutapelije tutakulisha matango pori.
 
Utapeli unazidi kuongezeka siku hadi siku.
Sema kuishitaki kampuni inahitaji uwe na mshiko sio Lele mama.
Hio pesa ni ndogo ila unaeza Kuta gharama za uendeshaji kesi ni zaidi ya hio pesa kuna Mambo ya mwanasherua
 
Back
Top Bottom