Ni chombo gani kinapima utendaji wa wabunge katika kipindi cha miaka 5?

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,457
2,281
Wadau naomba kujua, ni chombo gani kipo kisheria kinachowapima wabunge utendaji wao katika kipindi cha Miaka 5 ya ubunge wao au wanajipima wenyewe?

Nataka nipate taarifa za mbunge wangu kama ameyatekeleza aliyotuahidi wakati anaomba kura kwani Muda mwingi alikuwa Dar na Dodoma.
 
Wadau naomba kujua
Je ni Chombo gani kipo kisheria kinachowapima WABUNGE utendaji wao ktk Kipindi cha Miaka 5 ya UBUNGE wao au Wanajipima wenyewe?
Nataka nipate TAARIFA za MBUNGE wangu kama aliyotuahidi wakati anaomba KURA ameyatekeleza. kwani Muda mwingi alikuwa DAR na DODOMA
ni wananchi majimboni pekee ndio chombo kikubwa zaidi kwa mujibu wa katiba na sheria, cha kupima uwajibikaji, ufanisi wa kazi, mipango, juhudi na maarifa ya kiutendaji ya mbunge wa eneo husika mahalia. Na si vinginevyo 🐒
 
Back
Top Bottom