KALINZI NYUMBANI
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 1,709
- 1,306
Mkuu nafasi niliyopo siwez toa connection, maana mwenyewe ni Mungu tu alisababisha.Mkuu mi naomba connection ya kazi huko mgodini.
Mkuu nafasi niliyopo siwez toa connection, maana mwenyewe ni Mungu tu alisababisha.Mkuu mi naomba connection ya kazi huko mgodini.
Mkuu najamaa zangu pia wanafanya kazi SAHARA GROUP, hii nikampuni ya Oil and gas, Kigamboni nao wanatumia hii bima ya strategis nawanaitumia mpaka gym. Mimi nipo kampuni Moja GGM tunatumia pia mpaka gym. Lakini watu wachache kama wakina Error404 hawaamini pamoja na nduguye Nehemia Kilave, naamin mpaka Sasa watakua wameshaulizq.Mbona mshikaji kaandika kwa uzuri kabisa ni nini mnabishana sasa? Yeye ni mtumiaji wa hiyo bima na amedai kuna kifurushi kinatoa hiyo huduma ya gym wewe na Error 404 mnabisha tu bila uthibitisho wowote ule. Mwisho kasema wapigieni wahusika mpate uhakika zaidi bado mnabisha, Watanganyika mna matatizo sana.
Uko sawa mkuu mimi nipo JTI(Japan Tobacco International) huduma ya gym ipo kabsa na package yangu kwa mwaka ni 40m. Naweza kurequest air ambulace/ambulace.Kuna wajinga wachache wanabisha.
Nawasubiri Error 404 na ndugu yake Nehemia Kilave waje waseme sio kweli huduma ya gym haipo. Mfano sisi hapa mgodini hata hizo bima hatukatwi kwenye mishahara yetu. Hizo ni benefits nje ya salary. Sipendi watu wanaobisha ukweli.Strategies tunalipiwa mpaka gym.
Acha uongo, wewe unafanya kazi kampuni uchwara ambazo hazijui umuhimu wa gym ndio maana kifurushi chako hakijumuishi bima, uzuri kuna mdau kaweka documents hapo juu za STRATEGIES kuondoa huo uongo wako.Physiotherapy ni mazoezi yanafanywa kama tiba mfano umepata stroke ukapata udhaifu wa viungo unafanyiwa mazoezi ubongo ukumbuke kazi yake na kiungo kirudi kawaida , Gym ni broad ikihusisha mazoezi ya kuweka sawa mwili hata kama hujapata shida au ugonjwa wowote haya Bima huwa hawalipii
Kama wewe na nduguyo.Wengine wanatembea na story za vijiweni
Kuna mdau kaweka documents hapo za strategis na gym wanazopokea bima ya strategies.Kaandika vizuri lakini service Gym kwenye bima nimepata shaka Waja Hospital ndio hospital kubwa Geita na hatutoi huduma hiyo kwa mfumo wa bima zaidi ya Physiotherapy . Labda haelewi tofauti ya hizo huduma
Mkuu umezisoma zile services alizopost si umeona kuna physiotherapy sio Gym , sikatai kampuni binafsi inaweza ongea nao wawape watu wao huduma hiyo lakini hiyo huduma inayotolewa kwa standard beneficiaries .Kuna mdau kaweka documents hapo za strategis na gym wanazopokea bima ya strategies.
Kwa maana hiyo unaweza shauri kampuni kujiunga na strategy lakini sio mtu binafsi kama uzi wangu ulichokuwa unatargetKuna mdau kaweka documents hapo za strategis na gym wanazopokea bima ya strategies.
Nao hao wanapewa hiyo huduma sababu ni small portion, huwezi toa bima kwa large population mfuko utakufaKuna mdau kaweka documents hapo za strategis na gym wanazopokea bima ya strategies.
Na hakuna bima itaweza afford members wake wote wapate huduma ya GYM labda iwe ni VIP onlyKuna mdau kaweka documents hapo za strategis na gym wanazopokea bima ya strategies.
Hii ni akili kubwa sana.Kutibiwa mwisho 40?. Mm strategis wananilipia mpaka gym elfu 15 Kwa siku. By the way natumia Premium premium package.
Dogo nhif inaenda kufa kifo kibaya Haina hela kabisaBinafsi ni mdau wa afya na ni mnufaika wa bima ya taifa NHIF , Tanzania kwa ujumla tuna bima za afya nyingi sana kama :-
-NHIF
-ASSEMBLE
-STRATEGIES
-JUBILEE
-Cigna
-BRITAM
-BUPA
-UAP
-HEALIX
-WCF
-CHF
-Aetna
-NSSF
Na nyinginezo nyingi je wewe ni BIMA ipi unaweza mshauri mtu ajiunge na kwa faida zipi?
Binasi pamoja na Changamoto zote bado ntamshauri mtu ajiunge na NHIF iwe ya standard ,supplementary au VIFURUSHI kwa sababu zifuatazo -
1. Inapatikana Nchi nzima
2. Haina kiwango na ukomo wa matibabu kwa siku
3. Ina huduma zote muhimu kama kumwona daktari, vipimo, upasuaji na madawa muhimu yote.
Wewe je una uzoefu na ushauri upi?
Strategies & JubileeBinafsi ni mdau wa afya na ni mnufaika wa bima ya taifa NHIF , Tanzania kwa ujumla tuna bima za afya nyingi sana kama :-
-NHIF
-ASSEMBLE
-STRATEGIES
-JUBILEE
-Cigna
-BRITAM
-BUPA
-UAP
-HEALIX
-WCF
-CHF
-Aetna
-NSSF
Na nyinginezo nyingi je wewe ni BIMA ipi unaweza mshauri mtu ajiunge na kwa faida zipi?
Binasi pamoja na Changamoto zote bado ntamshauri mtu ajiunge na NHIF iwe ya standard ,supplementary au VIFURUSHI kwa sababu zifuatazo -
1. Inapatikana Nchi nzima
2. Haina kiwango na ukomo wa matibabu kwa siku
3. Ina huduma zote muhimu kama kumwona daktari, vipimo, upasuaji na madawa muhimu yote.
Wewe je una uzoefu na ushauri upi?
Hajasema service ya Gym unaclaim hospitali.Kaandika vizuri lakini service Gym kwenye bima nimepata shaka Waja Hospital ndio hospital kubwa Geita na hatutoi huduma hiyo kwa mfumo wa bima zaidi ya Physiotherapy . Labda haelewi tofauti ya hizo huduma
Hiyo ni ngumu kutokea , hakuna bima inabeba clients wengi na bado isiwe na misukosuko duniani kote .As longer as beneficiaries wengi basi tegemea changes nyingi hata hao strategy na Jubilee members wakishakuwa wengi utaona tu wanapotea .Dogo nhif inaenda kufa kifo kibaya Haina hela kabisa
Soma picha ya pili mstari wa mwishoMkuu umezisoma zile services alizopost si umeona kuna physiotherapy sio Gym , sikatai kampuni binafsi inaweza ongea nao wawape watu wao huduma hiyo lakini hiyo huduma inayotolewa kwa standard beneficiaries .
Hizo image ukiachana na pdf ndio service wanazozitoa ingawa hawajazuia supplements