mnyonyaji Member Dec 26, 2021 18 12 Jan 15, 2024 #1 Hope tutabadilishana mawazo lengo ni kujifunza nawapenda wote.
Replica JF-Expert Member Aug 28, 2017 1,504 8,071 Jan 15, 2024 #2 mnyonyaji said: Hope tutabadilishana mawazo lengo ni kujifunza nawapenda wote. Click to expand... Naona thread yako ya kwanza tangu ujiunge 2021..
mnyonyaji said: Hope tutabadilishana mawazo lengo ni kujifunza nawapenda wote. Click to expand... Naona thread yako ya kwanza tangu ujiunge 2021..
JITU BANDIA JF-Expert Member Feb 5, 2023 2,710 6,109 Jan 15, 2024 #3 Niliwahi kufungua I'd ya "Ananinyonya" mods wakaikataa hii I'd 2014... sijui mods mliona hilo jina Lina ukakasi Gani!? Vipi wakuu...mbona huyu mmempa!? Invisible Paw au mnyonyaji anawanyonya!?... Samahani lakini!!
Niliwahi kufungua I'd ya "Ananinyonya" mods wakaikataa hii I'd 2014... sijui mods mliona hilo jina Lina ukakasi Gani!? Vipi wakuu...mbona huyu mmempa!? Invisible Paw au mnyonyaji anawanyonya!?... Samahani lakini!!
sanalii JF-Expert Member Oct 1, 2018 1,439 5,118 Jan 17, 2024 #6 JITU BANDIA said: Niliwahi kufungua I'd ya "Ananinyonya" mods wakaikataa hii I'd 2014... sijui mods mliona hilo jina Lina ukakasi Gani!? Vipi wakuu...mbona huyu mmempa!? Invisible Paw au mnyonyaji anawanyonya!?... Samahani lakini!! Click to expand... Kwahiyo unamsagia kunguni mwenzio?
JITU BANDIA said: Niliwahi kufungua I'd ya "Ananinyonya" mods wakaikataa hii I'd 2014... sijui mods mliona hilo jina Lina ukakasi Gani!? Vipi wakuu...mbona huyu mmempa!? Invisible Paw au mnyonyaji anawanyonya!?... Samahani lakini!! Click to expand... Kwahiyo unamsagia kunguni mwenzio?
U Ulimakafu JF-Expert Member Mar 18, 2011 29,189 10,842 Jan 19, 2024 #7 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
mnyonyaji Member Dec 26, 2021 18 12 Jan 22, 2024 Thread starter #8 Replica said: Naona thread yako ya kwanza tangu ujiunge 2021.. Click to expand...
mnyonyaji Member Dec 26, 2021 18 12 Jan 22, 2024 Thread starter #9 Replica said: Naona thread yako ya kwanza tangu ujiunge 2021.. Click to expand... tunaanza polepole mkuu mwendo wa kinyonga.
Replica said: Naona thread yako ya kwanza tangu ujiunge 2021.. Click to expand... tunaanza polepole mkuu mwendo wa kinyonga.
mnyonyaji Member Dec 26, 2021 18 12 Jan 22, 2024 Thread starter #10 JITU BANDIA said: Niliwahi kufungua I'd ya "Ananinyonya" mods wakaikataa hii I'd 2014... sijui mods mliona hilo jina Lina ukakasi Gani!? Vipi wakuu...mbona huyu mmempa!? Invisible Paw au mnyonyaji anawanyonya!?... Samahani lakini!! Click to expand... hahahahaaa wakilielewa vibaya zambi zao jina limekubali hivo wakuu.
JITU BANDIA said: Niliwahi kufungua I'd ya "Ananinyonya" mods wakaikataa hii I'd 2014... sijui mods mliona hilo jina Lina ukakasi Gani!? Vipi wakuu...mbona huyu mmempa!? Invisible Paw au mnyonyaji anawanyonya!?... Samahani lakini!! Click to expand... hahahahaaa wakilielewa vibaya zambi zao jina limekubali hivo wakuu.
mnyonyaji Member Dec 26, 2021 18 12 Jan 22, 2024 Thread starter #11 Ulimakafu said: Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi. Click to expand... asante ushirikiano muhimu mkuu.
Ulimakafu said: Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi. Click to expand... asante ushirikiano muhimu mkuu.
mnyonyaji Member Dec 26, 2021 18 12 Jan 22, 2024 Thread starter #12 cocastic said: Click to expand... umefurahi mwenyewe
mnyonyaji Member Dec 26, 2021 18 12 Jan 22, 2024 Thread starter #13 Watu8 said: Karibu sana JamiiForums... Click to expand... asante sana mkuu.
mnyonyaji Member Dec 26, 2021 18 12 Jan 22, 2024 Thread starter #14 shadrackAmri said: weka picha Click to expand... soon mkuu.
cocastic JF-Expert Member Nov 30, 2019 86,997 139,724 Feb 4, 2024 #16 mnyonyaji said: umefurahi mwenyewe Click to expand... Yess