Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 9,083
- 12,332
Ndugu zangu, vijana, wazee na watoto ukimwi upo, na una endelea kuteketeza nguvu kazi ya familia na Taifa vibaya sana. Utaskia waombolezaji na watu wa karibu wakijifariji na kujipa moyo wa matumaini, ''aah jamaa, sukari na pressure imemsumbua muda mrefu sana".
Tena sasa hivi mgonjwa wa Ngoma anakufa na afya yake njema na mujarabu sana kwa nje, ila kwa ndani ni mtu aliechaka vizuri sana.
Ukihisi huna hakika na afya yako, tafadhali tembelea kituo cha afya kwa vipimo na ushauri wa bure na ukibainika nao uanze dozi maramoja.
Usiogope.....
Tujihadhari ndugu zangu,
Baki njia kuu michepuko sio deal.
UKIMWI NI KITU MBAYA SANA.