Ndege Mpya ya ATCL katika picha

Water cannon a sign of cheers!!! This is how it is done View attachment 403978
1474425287756.jpg
1474425293436.jpg

1474425316937.jpg
 
Kweli ni aibu nchi kama yetu kumiliki vindege vidonyo viwili,ila nyuma tulikosea,tumerekebisha na tunasongambele
 
Hatukushindwana, ATC ilihujumiwa kifisadi na maofisa waandamizi wajanja waliotoka ATC wakaanzisha ARC a.k.a Air Rombo Corporation!
Hiyo yote haikwepeshi usimamizi m'bovu wa serikali iliyopo madarakani,
 
Mm sioni mada hapa MTU anahoji kwanini hatukuweza kuendesha zile mala turudi nyuma.Mm nataka anijibu kwanini Simba iliitwa ya matopeni Na sasa inafanya vzuri .Ukujua kuuliza jua Na kujibu.
 
Off target hio inaonyesha hata kama moto ungekuwa unawaka nyumba hii wao wanamwagia nyumba ya nne!!... ukiuliza mbona hamzimi moto? wanasema afadhali kumwagia zingine zisiwake... acha inayowaka imalizike!!..
 
Back
Top Bottom