Shirikisha na ubongo wako mkuu, we were biting more than we can chew, unajua kwa nini tulishindwana na hiyo ya juu??Tumerudi nyuma badala ya kwenda mbele!
Halafu tunajipongeza.Tumerudi nyuma badala ya kwenda mbele!
Kwanini eti mtaasisi. Kwa hiyo hii tutaiweza? Mwendokasi tuu zilikua hazina mafuta juzi kati hapo.Shirikisha na ubongo wako mkuu, we were biting more than we can chew, unajua kwa nini tulishindwana na hiyo ya juu??
Nyakati zimebadilika, nani alikwambia mwendokasi hawakuwa na mafuta?? Na udart inaendeshwa na serikali?? Hujui unachokiongea!Kwanini eti mtaasisi. Kwa hiyo hii tutaiweza? Mwendokasi tuu zilikua hazina mafuta juzi kati hapo.
Utamaduni wakati wa kuikaribisha ndege mpya.Kwanini wanaimwagia maji?
Kwanini sasa serikali isingenipa mtu mwenye pesa kama mimi? Kwa hiyo ataukishikiwa bastola hapo utakiri kwamba Udart haina mapungufu?Nyakati zimebadilika, nani alikwambia mwendokasi hawakuwa na mafuta?? Na udart inaendeshwa na serikali?? Hujui unachokiongea!
...Bila kzingatia hatua tulizopotezaHalafu tunajipongeza.
Naona hana clue huyo jamaa...wao wanaangalia sura ...Shirikisha na ubongo wako mkuu, we were biting more than we can chew, unajua kwa nini tulishindwana na hiyo ya juu??
,Ya zamani
Ya sasa
Mnaoponda ndege mpya, Mungu anawaona...
Ya zamani
Ya sasa
Mnaoponda ndege mpya, Mungu anawaona...
So na hii ikibuma mtatuletea helikopta sio! Sio kwamba tunapaswa kujua ni wapi tulikosea, kama management hivi na vitu kama hivyo???Naona hana clue huyo jamaa...wao wanaangalia sura ...
Itasadia nini kuangalia kwanini tulishindwa.? tumerudi nyuma full stopShirikisha na ubongo wako mkuu, we were biting more than we can chew, unajua kwa nini tulishindwana na hiyo ya juu??