Naweza kupata spray ya kuondoa mikwaruzo kwenye gari?

Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
2,367
4,076
Nimekuwa nikiona zinatangazwa online na nipo mkoani, je zinapatikana kwenye maduka yetu huku mikoani?
 
Mikwaruzo ya aina gani mzee?

Kuna mikwaruzo inasabishwa kwa kupita kwenye majani kama michongoma au vichaka ile ni mikwaruzo soft na haina shida kufutika na kuipoteza ingawa inakuwa bado ipo ila hizo spray zinasaidia kuficha.

But mkwaruzo wa kuchubuliwa na ukuta, bodaboda, au daladala hapo wewe nenda kwa mchina tu wana mbinu za kuirepair rangi ya gari bila hata kuibadilisha rangi ya gari zima.
 
Mkuu, kwa mchina ni wapi kwa Dar?
 
Chukua majivu yale soft chekecha upate uga changanya na povu la sabuni ya unga sugua taratibu isipotoka nenda kapige rangi
 
Wapo mikocheni pale njia kama unakwenda rose garden pale.

Au nenda kule barabara ya kawe ulizia gereji ya spring city ya wachina. Utaelekezwa.
Mwanza

Ukiwa Mwanza, Kahama na.Bukoba wapo wapi?
 
Back
Top Bottom