nawasalimu wote

Nimefungua uzi juu sio kwa kuupenda bali kuchukua avatar yako mkuu.
 
Salamu sana wapendwa amani ya BWANA iwe kwenu, mi mzima wa afya ya roho na mwili hofu yangu ni juu yenu vipi hamjambo? nimepita niwajulie hali na kuwatakia kila la heri 2018 Watu8 tpaul miss chagga Luv mshana jr kabanga Evelyn Salt kahtaan Nyani Ngabu GENTAMYCINE PakaJimmy ........... Maxence Melo ... na wengine wote inshallah panapo majaliwa. lightsdown
Japo nimechelewa kwa miaka miwili kujibu salamu zako natumai bado uko hai kupokea zangu.

Ahsanta kwa kunikumbuka
 
  • Thanks
Reactions: amu

Similar Discussions

Back
Top Bottom