TV4Sale Nauza TV za mtumba

Mrisho com

JF-Expert Member
May 2, 2015
3,926
3,968
Habari za humu ndani nimejichanga nikaona sio mbaya kukusanya TV za mtumba na kuja kuziuza kwa wale wanaopendelea vitu vya mtumba.

Ninazo makampuni tofauti tofauti kuanzia Lg, PHILIPS, Hitachi na mengineyo, hivyo nakukaribisha mdau wangu unaependelea vitu hivi.

Hiz TV huanzia ukubwa wa nch 42, 55 na lakini kwa sasa nimeanzia na 42 hivyo 55 zipo njiani.
Pamoja na hayo TV zetu zina support kama:_

USB kuanzia port2

HDMI1 hadi port3

VGA, antenna nk.
IMG-20230806-WA0010.jpg
 
mzigo upo japo wengi wanataka nch 65,ila tutalifanyia kaz tupigie 0715 378899 kariakoo na Yombo kilakala
 
Back
Top Bottom