Plot4Rent Nauza Kiwanja, Dodoma Mjini

fursadodoma

New Member
Jun 2, 2021
2
2
Nauza kiwanja kipo Miganga West Dodoma Mjini kiwanja kina huduma zote za msingi kama barabara maji na umeme kimepimwa na kina documents ukubwa wa kiwanja ni sqm 450 bei ya kuuza milioni 6

Mawasiliano yangu 0756778476/ 0620320310

IMG_3792.jpg

IMG_3794.jpg

IMG_3793.jpg

IMG_3798.jpg

IMG_3799.jpg

IMG_3795.jpg

IMG_3797.jpg
 
i
Miganga west ni kilomita ngapi toka Dodoma mjini mkuu?
nawezekana kati ya kilomita 6 mpaka 7 na ni nyuma ya Mlima wa Isanga unaweza kupitia Kikuyu au Kizota
kwa bei ya milioni sita uwanja tu yaani makaratasi ni bado sana.
Bora alipokuwa Mwendazake dalili za Dodoma kuendelea kwa kasi hiyo ya viwanja kuwa juu ilikuwepo kiofisi kupitia Jiji ni 3.5 mpaka 4M kwa square mita 400 hadi 500
 
Saa hizi ukienda kichwa kichwa unapasuka
 
KIWANJA KIZURI KINAUZWA
________________________
MAHALI- MKALAMA

_________________________
KIPO SEHEMU NZURI TAMBARARE KABISA
__________________________

PANAWAFAA WANAOFANYA KAZI TOWN, NHIF, UDOM, TAKWIMU, HAZINA, UKAGUZI HOUSE, UCHAGUZI HOUSE, BOT , KAMBARAGE NK. NI KARIBU SANA NA HIZI OFISI
________________________

UMBALI MPK MJINI KATIKATI NI KILOMITA 3 NA NUSU TU

_________________________
UKUBWA WA KIWANJA-SQM 1200

__________________________
DOCUMENT-KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA NYARAKA ZAKE ZOTE HALALI ZA UMILIKI
__________________________

MATUMIZI
-MAKAZI
-KINAFAA KWA NYUMBA YA KUISHI
-KIZURI KWA APPARTMENTS ZA KUPANGISHA
IMG_3951.jpg

_________________________
HUDUMA-MAJI+UMEME VIPO

_________________________
SIFA ZA ZIADA
-KIKO SEHEMU NZURI+TULIVU
_________________________
MAWASILIANO
0620320310
0756778476
_________________________
IMG_3953.jpg

IMG_3954.jpg

IMG_3955.jpg
 
KIWANJA KIZURI KINAUZWA
________________________
MAHALI- MKALAMA

_________________________
KIPO SEHEMU NZURI TAMBARARE KABISA
__________________________

PANAWAFAA WANAOFANYA KAZI TOWN, NHIF, UDOM, TAKWIMU, HAZINA, UKAGUZI HOUSE, UCHAGUZI HOUSE, BOT , KAMBARAGE NK. NI KARIBU SANA NA HIZI OFISI
________________________

UMBALI MPK MJINI KATIKATI NI KILOMITA 3 NA NUSU TU

_________________________
UKUBWA WA KIWANJA-SQM 1200

__________________________
DOCUMENT-KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA NYARAKA ZAKE ZOTE HALALI ZA UMILIKI
__________________________

MATUMIZI
-MAKAZI
-KINAFAA KWA NYUMBA YA KUISHI
-KIZURI KWA APPARTMENTS ZA KUPANGISHAView attachment 1816782

_________________________
HUDUMA-MAJI+UMEME VIPO

_________________________
SIFA ZA ZIADA
-KIKO SEHEMU NZURI+TULIVU
_________________________
MAWASILIANO
0620320310
0756778476
_________________________View attachment 1816783
View attachment 1816784
View attachment 1816785
Hiki mbona hujaweka bei? Umesahau kwa bahati mbaya, au umefanya tu kwa makusudi kwa sababu unawauzia wafanyakazi wa Udom, Hazina, Bot, Takwimu, Nhif, nk?

Weka bei bhana!
 
Dodoma inaenda kujifia kifo cha Mtwara 😅😅😅 hata kule upepo ulikuwa mkali ila now pako njwii!
watu wanapiga hela, posho na mishahara wanaenda Jenga DSM
watu hawajahamia Dodoma kabisa, nusu Dar nusu Dom
ndio maana viwanja vinasuasua na bei haipandi, vipo vingi tu wazi na vinauzwa
 
watu wanapiga hela, posho na mishahara wanaenda Jenga DSM
watu hawajahamia Dodoma kabisa, nusu Dar nusu Dom
ndio maana viwanja vinasuasua na bei haipandi, vipo vingi tu wazi na vinauzwa
Dah mie bibie alikuwa anafosi tununue kiwanja Dom aisee hapana Dodoma sipataki
 
Dah mie bibie alikuwa anafosi tununue kiwanja Dom aisee hapana Dodoma sipataki
labda km kwa maisha ya baadae na watoto lkn km ni kwa mzunguko wa pesa na upo zaidi kibiashara hiyo pesa haitarudi leo, waliotoka Arusha, Dar Mwanza ama Kilimanjaro walifungua biashara za vinywaji na walifilisika wakaacha na vyombo na mali wakarudi.
Labda kwa Mama Rais wetu tunamsikilizia huenda pesa ikaanzia mifukoni kuliko awali zilihamia kwenye ujenzi wa kitaifa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom