SOLD: Nauza ghorofa na pamoja na nyumba ya chini zote kwa bei moja

Status
Not open for further replies.
Jengo la ghorofa 2 na nyumba ya chini zote zinauzwa Kijitonyama Ghorofa Lina vyumba 6 ambavyo ni master vyote Nyumba ya chini ina vyumba 3, kimoja master, jiko, sitting room na public toilet...
Tatizo umekosea kutangaza inaelekea wewe nindalali ambaye hutambuliki inataka kutafuta mtega ndiyo uende kumuuza kwa wamiliki.

1. Ungetoa picha za kutosha
2. Ungetoa google map watu wajue ikowapi
3. Ungeeleza sababu za kuuza ni nyumba za mirathi, bank loan au nini ….

Tatizo utapeli umekuwa mwingi sana watu waoga
 
Tatizo umekosea kutangaza inaelekea wewe nindalali ambaye hutambuliki inataka kutafuta mtega ndiyo uende kumuuza kwa wamiliki...
mmiliki wa mjengo kama huo hawezikuwa na muda wa kutafuta wateja ndio maana anatoa kazi kwa madalali wamsaidie...

ndio maana nimeweka mawasiliano kwa lolote ambalo ungehitaji kufahamu unapiga zimu
Sababu ya kuuza sidhani kama ni suala lam kutangaziana mtandaoni..hii sio mkopo wa benki anayeuza ni mmiliki
 
Sasa kama sio “suala la kutangaziana mtandaoni” Mbona umeleta kwa mitandao tangazo la biashara yako?
 
mmiliki wa mjengo kama huo hawezikuwa na muda wa kutafuta wateja ndio maana anatoa kazi kwa madalali wamsaidie...
Hawa wote wanaokudadisi na kuulizia mambo mengi hawana fedha. Mtu mwenye fedha atatumia namba uliyotoa kuulizia zaidi.

Ona kuna mpaka anayesema useme sababu ya kuuza! Hili ni tangazo la awali na kama anataka kujua mambo mengine kwa undani mwambie akupigie.
 
Hawa wote wanaokudadisi na kuulizia mambo mengi hawana fedha. Mtu mwenye fedha atatumia namba uliyotoa kuulizia zaidi. Ona kuna mpaka anayesema useme sababu ya kuuza! Hili ni tangazo la awali na kama anataka kujua mambo mengine kwa undani mwambie akupigie.
hawa hawanisumbui nishawazoea...
Kuna mtu anataka mpka umwambie shida zako za kwanini unauza
 
mmiliki wa mjengo kama huo hawezikuwa na muda wa kutafuta wateja ndio maana anatoa kazi kwa madalali wamsaidie...

ndio maana nimeweka mawasiliano kwa lolote ambalo ungehitaji kufahamu unapiga zimu
Sababu ya kuuza sidhani kama ni suala lam kutangaziana mtandaoni..hii sio mkopo wa benki anayeuza ni mmiliki

Kama navyosema ungeweka picha na details za kutosha hapo ulichoweka ni pesa tu. Usije ukawa hata picha huruhusiwi kupiga. Hata kama ni dalali unatakiwa utambulike na wamiliki
 
Kama navyosema ungeweka picha na details za kutosha hapo ulichoweka ni pesa tu. Usije ukawa hata picha huruhusiwi kupiga. Hata kama ni dalali unatakiwa utambulike na wamiliki
detail gani iliyopelea hapo?
mbona wapo waliopiga simu na kuuliza biashara kama bado ipo
sijui wewe unachotaka nini zaidi
maana naona subject yako ni mimi zaidi kuliko tangazo
 
Kwa mnunuzi yafuatayo zingati
1.Nenda Ardhi/mipango miji jiridhishe future usage la eneo ambalo hiyo ghorofa imejengwa
2.The true owner
3.Trace kwenye mabank yote
4.Hakikisha haina mgogoro wowote ule
5.Etc
Jengo la ghorofa 2 na nyumba ya chini zote zinauzwa Kijitonyama Ghorofa Lina vyumba 6 ambavyo ni master vyote Nyumba ya chini ina vyumba 3, kimoja master, jiko, sitting room na public toilet.
Plot size Sqm 750
Clean title deed (HATI MILIKI IPO)
BEI MILIONI 500 (500,000,000)
Mawasilinao 0782 780980

View attachment 2282175
 
Kwa mnunuzi yafuatayo zingati
1.Nenda Ardhi/mipango miji jiridhishe future usage la eneo ambalo hiyo ghorofa imejengwa
2.The true owner
3.Trace kwenye mabank yote
4.Hakikisha haina mgogoro wowote ule
5.Etc
Huo muda wa kuzunguka kwenye Mabenki yote utautoa wapi??unafikiri Bank zinatoa taarifa za wateja kirahisi hivyo enh!!!verification inafanywa Wizara ya Ardhi kwenye System
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom