Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,254
- 18,041
Kazi si ndio hiyo ya uchawiAcheni uchawi basi Kwenye biashara za watu. hamna kazi za kufanya ?
Kazi si ndio hiyo ya uchawiAcheni uchawi basi Kwenye biashara za watu. hamna kazi za kufanya ?
Sawa, Naweza kukutumia kwa basi, wapo wateja mikoani nawatumia kwa uaminifu kabisaNiko mwanza
Huoni kama nime uboost uzi wake umekuja juu,Sijui angekaa kimya angepungukiwa nini.
Huo ndo uchawi wenyewe sasa.
Kwakweli za copper sijui kiongozi wangu, mm nahusika na bracelet za leatherTapata wapi bracelet za madini ya copper
Hujaboost chochote ila jitihada zako za kumshusha jamaa asiuze/kutangaza bidhaa yake zimefeli.Huoni kama nime uboost uzi wake umekuja juu,
Mbona una ujuaji mwiiingi? Una biashara nzuri ila unataka kupoteza lengo.Learn to practice what you preach
unaniambia nipende lugha yangu, wakati wewe binafsi jina unalotumia JF ni DREAM QUEEN, kwanini usingejiita NDOTO MALKIA ambayo ni kwa kiswahili
Bora usinge comment na ungekaa kimya, ingesaidia ku Hide ur foolishness
Thanks mkuu,. Much appreciation kwa comment yakoNzuri sana,
Good luck Mkuu.
Nipo maeneo ya kilakala, karibu sanaupo Moro sehemu gani?nikipata nafasi nije kukutembelea
Asaivi zimefikia Ngap kwa briganKaribuni, style na designs zipo za kutoshaView attachment 2507058View attachment 2507059View attachment 2507060