Njugumawe unahitaji tani ngapi?Nahitaji kunde ,maharage, choroko na njungumawe kwa bei ya jumla.
Mimi nipo Dar, Mabibo.
Hapo kwenye magala ya chinga nyuma ya kaumu hapo hawanunui?Mm ninazo choroko kilo mia tatu gunia tatu niko masas bei yangu 2000 kwa kilo
Boss nakutafuta naona inbox yako siipatiMkuu ninazo kunde kama tani 20 vipi unalipa shilingi ngapi?
Unapatikana wapii?Karanga unahitaji?? mimi ninazo boss
Nicheki inboxMkuu ninazo kunde kama tani 20 vipi unalipa shilingi ngapi?
Unalipa bei ganiNahitaji kunde