Nataka kujilipua na Volvo XC 90. Ushauri wenu wadau

Swali ni kwamba ni klabu ya wapi! Wamiliki wanaweza kubadilika hata Dangote akijipanga akainunua Chelsea itabaki kuwa timu ya England. Mmiliki atakuwa Mnigeria!!
Boss, acha siasa, LR ni brand ya England inayomilikiwa na wahindi. Kama unalo ww jua wahindi wanahusika nalo na hili halibadili chochote kuhusu nafazi ya LR kwenye soko la dunia.
 
Itoshe kusema kwamba, Waswedish wanatengeneza vyombo vyenye uhakika katika mabasi na Malori kuna SCANIA NA VOLVO hawana mpinzani. kwenye SUV tunajua Japs na Germans wanachuana vikali lakini tunamuunderestimate huyu mnyama VOLVO XC 90

watakuja watu wa Subaru na Toyota, nataka muangalie hii video nayoiweka hapa chini mpaka Range kakaa, na hiyo TLC kakalishwa sasa inakuwaje kwa ndogo?

Team Volvo mnipe uzoefu wa hii gari? Reliability, Comfortability yake Safety na Upatikanaji wa spares zake

Angalia hiyo video 👉👉👉👉👉

View attachment 2480369View attachment 2480392View attachment 2480393View attachment 2480394
Chukua boss. Five years of owning one.

Ila nunua angalau la kuanzia 2011; ukiweza 2014. Hiyo 2nd generation kama pesa ipo chukua ya kuanzia 2016.

XC90 ni bonge la gari. Chukua diesel D5. Hii ni turbocharger na inaweza kufanyiwa stage 1 tuning.

Shida ni moja kubwa. Za kuanzia 2011 zote zinakuwa ni Euro 5 kwenye suala la exhaust emission regulations. Hivyo, kwa diesel zinakuwa na vitu vinaitwa diesel particulate filter (dpf) na exhaust gas recirculation (egr). Hii ni mifumo ya kuzuia uchafu wa mazingira kwenye magari ya diesel. Tatizo linakuja kuwa kama wewe siyo mtu wa kusafiri safiri sana (yaani mtu wa safari za home-work-home za mjini), D5 itakuletea shida. Kwani dpf na egr zitajaa na kuziba zile carbon soot/deposits. Dpf ni chujio la hizo gas mbaya na egr urudisha hizo gas mbaya ndani ya injini ili zisitoke kuchafua mazingira. Dpf na egr zikijaa carbon, hapo a spiral of problems ufuata. Una machaguo matatu manne ya kutibu. Moja ambalo ndiyo bora, uwe unafanya safari za mbali angalau mara kadhaa kwa miezi ili uruhusu exhaust kupata joto la kuchomq vizuri hizo carbon soots. Safari fupi fupi, exhaust haichemki vya kutosha kuchoma carbon. Mbili, kuna additives za kununua na kuweka kwenye mafuta, ambazo ufanya kazi ya kusafisha dpf na egr. Hii ni suluhisho lisilo la kudumu na la gharama, na kwa uzoefu wangu siyo la uhakika sana. Tatu, tumia hizi obd2 diagnostic machines kufanya forced regeneration ya dpf. Pata machine yenye function ya kuruhusu kuipa moto exhaust gari ikiwa imesimama, mpaka carbon soot utoka kwenye dpf. Hii nayo siyo ya kudumu, kwani gari nyingi zinaruhusu forced regeneration mara tatu tu. Nne, fanya dpf na egr deletes. Hizi ni reprogramming ya ecu (control box) ili kuifundisha gari kwamba dpf na egr hazipo tena. Hii inaenda pamoja na physical removal ya dpf. Mara nyingi egr inabaki lakini. Changamoto ya hii ni kupata mtaalamu wa uhakika wa kufanya remapping ya hizi ecu za European makes. Maana remapping yake inahitaji umakini mkubwa mno, makosa kidogo tu, upelekee a spiral of problems. Kwa mazingira yetu ya kibongo hii ndiyo suluhisho la kudumu endapo remapping itafanyika kwa usahihi. Kama pesa si shida unaweza kupelekea ecu Afrika ya Kusini au hata Ulaya. Maana remapping inaweza kufanyika hata kama gari halipo hapo.

Ukiona diesel pasua kichwa chukua petrol. Ila chukua T5 ya kuanzia 2011 au ukiweza T6 ya kuanzia 2016.

Utafurahia sana gari. Ila kuwa makini na mafuta. Jitahidi siku zote uweke kwenye vituo vya Total, Puma, Oryx na Engen tu. Maana European makes na mafuta machafu ni kujitafutia shida. Ingawa unaweza kufanya pia remapping ya kuruhusu gari iweze kuvumilia mafuta ya kiwango duni. Au utumie fuel treatment angalau mara 1-2 kwa mwezi.

Mafundi pia kuwa makini. Wengi wanaweza kusema wanaweza, kumbe ni makanjanja. Hapa ni muhimu kulijua gari lako vizuri haswa. Tembelea fora mbalimbali za Volvo. Cheki mafundi na watalaamu wa Volvo Youtube. Pia kuwa na obd2 yako ndogo ya kuangalia afya ya gari lako mara kwa mara.

Na daima lazima ufanye preventive maintenance. Mfano, ujue kama kuna part ambayo gari likifika umbali fulani, ni lazima ukibadilishe n.k.
 
Mkuu ntakutafuta.
 
Boss, acha siasa, LR ni brand ya England inayomilikiwa na wahindi. Kama unalo ww jua wahindi wanahusika nalo na hili halibadili chochote kuhusu nafazi ya LR kwenye soko la dunia.
Kama tunakubaliana kwamba LR ni brand ya British Sina la ziada. Ukiambiwa taja magari ya India utataja TATA, MAHINDRA N. K ukiambiwa Germany AUDI, BMW, MERCEDES and British 😂LAND ROVER, JAGUAR etc

Yako ni Diesel au petrol? Hizo za kufanyia remapping ni toleo la mwaka gani?
 
Kama tunakubaliana kwamba LR ni brand ya British Sina la ziada. Ukiambiwa taja magari ya India utataja TATA, MAHINDRA N. K ukiambiwa Germany AUDI, BMW, MERCEDES and British 😂LAND ROVER, JAGUAR etc
TATA group ndo wamiliki wa LR. Ukisema TATA jua LR ni subsdiary.

Jaguar Land Rover Automotive PLC is the holding company of Jaguar Land Rover Limited (also known as JLR), and is a British multinational automobile manufacturer which produces luxury vehicles and sport utility vehicles. Jaguar Land Rover is a subsidiary of Tata Motors and has its head office in Whitley, Coventry, UK. The principal activity of Jaguar Land Rover Limited is the design, development, manufacture and sale of vehicles bearing the Jaguar and Land Rover marques.
Screenshot_20230114-163843_Chrome.jpg
 
TATA group ndo wamiliki wa LR. Ukisema TATA jua LR ni subsdiary.

Jaguar Land Rover Automotive PLC is the holding company of Jaguar Land Rover Limited (also known as JLR), and is a British multinational automobile manufacturer which produces luxury vehicles and sport utility vehicles. Jaguar Land Rover is a subsidiary of Tata Motors and has its head office in Whitley, Coventry, UK. The principal activity of Jaguar Land Rover Limited is the design, development, manufacture and sale of vehicles bearing the Jaguar and Land Rover marques.View attachment 2480943
Kwahiyo LR ni gari za wahindi?
 
Chukua boss. Five years of owning one.

Ila nunua angalau la kuanzia 2011; ukiweza 2014. Hiyo 2nd generation kama pesa ipo chukua ya kuanzia 2016.

XC90 ni bonge la gari. Chukua diesel D5. Hii ni turbocharger na inaweza kufanyiwa stage 1 tuning.

Shida ni moja kubwa. Za kuanzia 2011 zote zinakuwa ni Euro 5 kwenye suala la exhaust emission regulations. Hivyo, kwa diesel zinakuwa na vitu vinaitwa diesel particulate filter (dpf) na exhaust gas recirculation (egr). Hii ni mifumo ya kuzuia uchafu wa mazingira kwenye magari ya diesel. Tatizo linakuja kuwa kama wewe siyo mtu wa kusafiri safiri sana (yaani mtu wa safari za home-work-home za mjini), D5 itakuletea shida. Kwani dpf na egr zitajaa na kuziba zile carbon soot/deposits. Dpf ni chujio la hizo gas mbaya na egr urudisha hizo gas mbaya ndani ya injini ili zisitoke kuchafua mazingira. Dpf na egr zikijaa carbon, hapo a spiral of problems ufuata. Una machaguo matatu manne ya kutibu. Moja ambalo ndiyo bora, uwe unafanya safari za mbali angalau mara kadhaa kwa miezi ili uruhusu exhaust kupata joto la kuchomq vizuri hizo carbon soots. Safari fupi fupi, exhaust haichemki vya kutosha kuchoma carbon. Mbili, kuna additives za kununua na kuweka kwenye mafuta, ambazo ufanya kazi ya kusafisha dpf na egr. Hii ni suluhisho lisilo la kudumu na la gharama, na kwa uzoefu wangu siyo la uhakika sana. Tatu, tumia hizi obd2 diagnostic machines kufanya forced regeneration ya dpf. Pata machine yenye function ya kuruhusu kuipa moto exhaust gari ikiwa imesimama, mpaka carbon soot utoka kwenye dpf. Hii nayo siyo ya kudumu, kwani gari nyingi zinaruhusu forced regeneration mara tatu tu. Nne, fanya dpf na egr deletes. Hizi ni reprogramming ya ecu (control box) ili kuifundisha gari kwamba dpf na egr hazipo tena. Hii inaenda pamoja na physical removal ya dpf. Mara nyingi egr inabaki lakini. Changamoto ya hii ni kupata mtaalamu wa uhakika wa kufanya remapping ya hizi ecu za European makes. Maana remapping yake inahitaji umakini mkubwa mno, makosa kidogo tu, upelekee a spiral of problems. Kwa mazingira yetu ya kibongo hii ndiyo suluhisho la kudumu endapo remapping itafanyika kwa usahihi. Kama pesa si shida unaweza kupelekea ecu Afrika ya Kusini au hata Ulaya. Maana remapping inaweza kufanyika hata kama gari halipo hapo.

Ukiona diesel pasua kichwa chukua petrol. Ila chukua T5 ya kuanzia 2011 au ukiweza T6 ya kuanzia 2016.

Utafurahia sana gari. Ila kuwa makini na mafuta. Jitahidi siku zote uweke kwenye vituo vya Total, Puma, Oryx na Engen tu. Maana European makes na mafuta machafu ni kujitafutia shida. Ingawa unaweza kufanya pia remapping ya kuruhusu gari iweze kuvumilia mafuta ya kiwango duni. Au utumie fuel treatment angalau mara 1-2 kwa mwezi.

Mafundi pia kuwa makini. Wengi wanaweza kusema wanaweza, kumbe ni makanjanja. Hapa ni muhimu kulijua gari lako vizuri haswa. Tembelea fora mbalimbali za Volvo. Cheki mafundi na watalaamu wa Volvo Youtube. Pia kuwa na obd2 yako ndogo ya kuangalia afya ya gari lako mara kwa mara.

Na daima lazima ufanye preventive maintenance. Mfano, ujue kama kuna part ambayo gari likifika umbali fulani, ni lazima ukibadilishe n.k.
Umeeleza vizuri sana bro, hata Mazda CX-5 za diesel ambazo zipo rated Euro 5 zipo na hio issue ya DPF na EGR ambazo kama ulivyoeleza ukiwa mtu wa town utapata issue kama blown gasket na kuua Turbo sababu ya overheating.....hivyo kwa first car owner wa gari hizi ambazo ni Euro 5 rated inabidi awe makini zaidi na service na kufuata yote uliyosema. But generally they're good car

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisema gari za wahindi unamaanisha nn? Brand ni ya mwingereza ila ipo chini ya TATA group. Kama tu mancity ilivyo ya uingereza ila inamilikiwa na waarabu.
Brand! Legacy
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom