Nataka kujilipua na Volvo XC 90. Ushauri wenu wadau

Umekaa nayo muda gani?
Na je ni vipi fuel consumption yake (numbers au hata kama unaweza kufanya comparison na gari nyingine?)

Takriban mwaka mmoja. Ni cc 2000. Ina turbo, ukiipeleka inaitika usipokaa sawa Dar-Dom full tank taa inawaka unaongeza mafuta.

Lakini Bado nikitaka kununua gari lingine, ntanunua Volvo.
 
Mkuu hapa bongo mafundi Volvo ni magumashi sana hiyo gari utakuja kuichukia.Mafundi Volvo wengi wako Zambia na Kongo ndo maana wao hizo gari hawaziogopi.
Nna mtu wangu wa karibu ana volvo kama hio ya kwenye picha kila kukicha ni mbovu tu wakati haina hata miaka 2
 
Back
Top Bottom