Natafuta mwanamke wa kuoa

Sio kuwa
Sema hapa umeandika kwa makasiriko sana mkuu, kulikuwa na haja gani kuwakebehi Watu wa Dar,

Maisha ni popote ambako wanakufaa hata wewe ukipata kazi ya kueleweka utaenda Dar
Sio kuwa niikipata kazi ya kueleweka , nina kazi ya kueleweka and by your information nimejenga Dar na wapangaji wapo ndani maisha yanaendelea.
What I spoke is the reality, watu wa Dar shobo nyingi as if mikoani huku hakuna maisha. Halafu mwisho wa siku maisha Yao bado ni ya kuunga unga!
Kama watu wa Dar mna makasiriko kwa sababu ya kuambiwa ukweli mtajijua wenyewe lakini lazima tuwachane ili mpunguze hizo shobo
 
Watu wa Dar mkae kwa kutulia hatutaki shobo maandazi - kujifanya mmepatia maisha kumbe mnateseka
Hahaha
Kwa hiyo warembo wa Dar hawatakiwi, au?
Pia uwe ready kupima UKIMWI pamoja nawe mara TATU.
Hapa nakuunga mkono..
Tena mtakapocheki moto, cheki gono pia, maana naskia siku hizi kuna gono sugu inatibiwa kwa dawa za mbwa tu
 
Hahaha
Kwa hiyo warembo wa Dar hawatakiwi, au?

Hapa nakuunga mkono..
Tena mtakapocheki moto, cheki gono pia, maana naskia siku hizi kuna gono sugu inatibiwa kwa dawa za mbwa tu
Vipimo ninavyo box zima na vinapima HIV na syphilis! Complete! Hilo ondoa shaka Ndugu yangu.

Nipo serious na kutafuta pesa lakini pia nipo serious na suala la afya yangu na nitahakikisha namlinda afya mke wangu nitakayempata.

AFYA YANGU NDIO MTAJI
 
Sawa mkuu
 
Sio kuwa

Sio kuwa niikipata kazi ya kueleweka , nina kazi ya kueleweka and by your information nimejenga Dar na wapangaji wapo ndani maisha yanaendelea.
What I spoke is the reality, watu wa Dar shobo nyingi as if mikoani huku hakuna maisha. Halafu mwisho wa siku maisha Yao bado ni ya kuunga unga!
Kama watu wa Dar mna makasiriko kwa sababu ya kuambiwa ukweli mtajijua wenyewe lakini lazima tuwachane ili mpunguze hizo shobo
Hapana sijasema kazi ya kueleweka kama ulivyonukuu wewe , nilichokuwa namaanisha ni kupata kazi au deal yenye kiwango cha juu zaidi ya unayofanya kwa sasa
 
Hapana sijasema kazi ya kueleweka kama ulivyonukuu wewe , nilichokuwa namaanisha ni kupata kazi au deal yenye kiwango cha juu zaidi ya unayofanya kwa sasa
Mkuu Mimi ni mtumishi wa umma halafu nimeridhika na kiwango Cha umaskini wangu alichonjalia Allah. Yaani Wala Sina tamaaa na wala sitamani kazi nyingine tofauti na hii ninayoifanya sasa.
Mshahara wa kibaruani kwangu Mkuu wa wilaya asubirie hadi Samia amfurahishe achilia mbali DED.

Wanachonizidi Mimi ni allowance tu na ufisadi wanao ufanya kitu ambacho sitoweza kufanya ni wizi/ufisadi kulingana na imani yangu na malezi ya wazazi wangu waliyonilea.
Narudia tena Mimi sishobokei Dar, na sitokaa nishobokeee Dar.
 
Kati ya jambo ambalo.mimi naona haliwezi kunishinda kiasi cha kutafuta mteremko ni kupata mwanamke wa kuoa au kubanjuana nae.

Inashangaza sana kuona umekosa sasa unataka wajilete wenyewe
Kupata mwanamke ni rahis sana sikuhiz lakin kupata mwanamke Bora ni kitu kigumu mno kwenye kizazi hiki,sio Kila mwanamke ni mke na sio Kila mwanamke n wa kubanjuka nae
 
Kupata mwanamke ni rahis sana sikuhiz lakin kupata mwanamke Bora ni kitu kigumu mno kwenye kizazi hiki,sio Kila mwanamke ni mke na sio Kila mwanamke n wa kubanjuka nae
Upewe maua yako. Na ndio maana upo so proud with your dady kwa jinsi alivyokulea wewe na ndugu zako.
I wish ungekuwa mke wangu wa maisha SEMA tayari yule jamaa Alisha uteka moyo wako ndio maana umekuwa na msimamo kama Israel against Hamas , and Iran

But you're amongst few super woman on this earth
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom