Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 63,180
- 158,755
Aamin
Aamin
Mkuu Dhehebu gani hapo kawe nije nipate chakula cha kiroho jumapili?si uje apa kanisani Kawe wamejaa tele, ni wanyenyekevu mno, na wanasalimia kwa heshima sana 🐒
namba ya cm wanakuomba wao mpendwa, kwaajili ya kuamshana kwenye maombi na mkesha 🐒
Wasalaam dronedrake
Natafuta mwanamke wa kuoa;
Awe na umri kuanzia 18- 28
Awe mrefu, 5+ feet tall
Awe amehitimu form six na kuendelea
Awe anapenda kufanya kazi
Awe Mwafrika, au mzungu.
Njooni PM
Ahsantetofali unazo?
kwa mwamposa chapMkuu Dhehebu gani hapo kawe nije nipate chakula cha kiroho jumapili?
And finally, ALL of them love money😄The truth is, not all women love money. Some of them actually love money, while others love money ,but majority of them love money🥴.
@Intelligent businessman nimeghairi maana nimeona naangamia kwa kukosa maarifaOya proton pump si ni wiki ime pita,. toka tueleweshane umuhimu was no fap.
Leo ume msaliti mwenyekiti wako
Nipe namba mkuuLabda Miss Natafuta! Ingawa sina uhakika na vigezo vyako!
mimi sio marioo wala kibenteni mkuuHutaki mwenye bikra?
Nawe mbona haijaweka ni yako?
Usije kuwa unatafuta wa kukulea/marioo!!?
@dronedrake nataka kupotea ama
🤣🤣🤣 huu ni uongo wa waz mkuusi uje apa kanisani Kawe wamejaa tele, ni wanyenyekevu mno, na wanasalimia kwa heshima sana 🐒
namba ya cm wanakuomba wao mpendwa, kwaajili ya kuamshana kwenye maombi na mkesha 🐒
positive displacement pump@dronedrake nataka kupotea ama
Hahaha karibu chamani@Intelligent businessman nimeghairi maana nimeona naangamia kwa kukosa maarifa
eleza ukweli bayana bas...🤣🤣🤣 huu ni uongo wa waz mkuu
To yeye najua upo singo njoo bas myhuu ni uongo wa waz mkuu
UnaniogopeshaWenge halitakiwi Mleta Uzi. Ndoa ni ngumu na inahitaji kujipanga sio kuja kutafuta huruma humu mitandaoni
Mke mwema yupo kanisanieleza ukweli bayana bas...
kumbuka kwenda mahali waliko, hakuna namna nyingine, wapo wengi mno, ukijifungia chumbani itaeendelea kula kwako...
Anzisha uzi wa kataa ndoa mtag dronedrake na proton pumpHahaha karibu chamani