Natafuta Mtaalam wa kuandika script au Automation Desktop

pharao

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
383
654
Hello Natafuta mtu anaeweza kunitengenezea Script ya Python au Java itakayonisaidia kujaza taarifa kutoka Excel kwenda Mtandaoni.
 
Nilishawahi kufanya automation inayokaribia kufanana na yako. Ilikuwa simple desktop program ambayo unaipa excel file, inasoma values zake, kisha inazijaza kwenye software ya 3D modelling (Catia). Nilitumia Python. Nakumbuka package zake mbili Tkinter na PyAutoGUI.

Wazo langu kwako, kama tayari unajua ni kwa namna gani wahitaji automation tool yako ifanye kazi, tumia ChatGPT ikusaidie kuandika hiyo program. Ukiipa maelekezo vizuri, na ukawa mvumilivu kuifafanulia unapoona haijaelewa, utapata program nzuri tu.

Natumia sana ChatGPT kunitengezea script mbalimbali na workflows za github, kama ni ishu za mara moja tu.
 
Mimi naweza tena kukutengenezea vizuri kabisa
Android App ambayo itakupa uwezo wa kuweka taarifa kwenye mtandao

Na web ambayo ukitaka ikusaidie kuweka taarifa mtandaoni

Ila sasa kwa muda ambao utakuwa unataka excel unai download na kuifungua kwenye computer yako anywhere in the world


Utapata ugumu kufanya icho utacho taka ku upload excel data direct kwenda kwenye database ya online

Ushauli,
Tambua kwanza unataka taarifa gani hasa ziwe imported online baada ya kuzitambua

Mfano
Kama ni. Jina , kiasi , faida , akiba , matumizi

Kisha tunao weza yeyote akutengenezee script ambayo ita upload izo parameters kulingana na wewe

Kama umenielewa nitafute nita kutengenezea kwa bei ndogo

Na kama utataka kazi nzima nipe nikupigie kwa gharama ndogo na kwa kiwango unacho taka

0682329852

Natumia Java, Php, MySQL software yangu ni Android Studio

Free server ambayo ukomo wake ni ujaze Mb 300 kitu ambacho kama ni taarifa za maandishi na namba ni storage kubwa individual
 
Back
Top Bottom