Natafuta Mke

Kila la kheri Mkuu.

IMG-20240213-WA0585.jpg

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Asalam aleikum, kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu kunipa uzima hakika ni faraja kupanda jukwaani kusema ya moyoni

Nahitaji mke wa kiislamu, sifa zingine ni za ziada nahitaji kuoa sasa kikubwa umri usiwe mkubwa sana, asizidi miaka 32 maana mimi nina miaka 35.

Inshalaah, pia mimi ni mtumishi wa serikali na sina mtoto.

Kkwa yeyote mwenye interest tuwasiliane PM, nipo serious baada ya mfungo ndoa inshalaah.
Unaoa dini? Wanawake wote unaowaona huko msikitini umeshindwa kuoa ndiyo uoee ghost woman?we una matatizo
 
Wakristo unaweza kukuta hata 37 bado hajaoa na Hana presha especially wachaga na wagogo , Kwa muislamu aliyeshika dini (sio Hawa wahuni kisa anaitwa Muamedi Basi anajiita muislamu, pombe, Malaya, kitimoto Hadi kongoro za kitimoto wanakula) sio rahisi kukuta muislamu wa kweli @33 Hana mke.
Tuambie, wewe Ni Muamedi au Mohammed.?
 
Asalam aleikum, kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu kunipa uzima hakika ni faraja kupanda jukwaani kusema ya moyoni

Nahitaji mke wa kiislamu, sifa zingine ni za ziada nahitaji kuoa sasa kikubwa umri usiwe mkubwa sana, asizidi miaka 32 maana mimi nina miaka 35.

Inshalaah, pia mimi ni mtumishi wa serikali na sina mtoto.

Kkwa yeyote mwenye interest tuwasiliane PM, nipo serious baada ya mfungo ndoa inshalaah.
Nenda msikiti wa karibu na wewe kaonane na Imamu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom