Natafuta kazi yoyote itakayoweza kuniingizia kipato

Tafuta Kazi ya ulinzi Ili upate angalau nauli ya kupambana mjini hapa. Ukiwa lindoni huko huko jenga uaminifu na viongozi ikitokea ajira ni rahisi kukubeba. KILA mtu uanza kama wewe nawajua wengi tu tuliokuwa nao walinzi leo ni mameneja, wengine wanamiliki vituo vya mafuta, wengine ni wakuu wa idara, wakuu wa kanda kama waajiriwa wa serikali.
Usikate tamaa.
 
Na ushuhuda niliwapa ushauri jamaa wawili hadi wakahitimu degree wote Wana Kazi zao na maisha yao.
Kazi rahisi kupata ni ya ulinzi kwa elimu ya form 4 tafuta hizi kampuni kubwa wanalipa Kati ya laki 2 na nusu hadi 3.
Ukipata Kazi pigana upate malindo ya kwenye magodauni haya usiku huwa yametulia so usiku unajisomea, mchana unaingia darasani.
Open university unaweza soma, hata vyuo vya ada ya chini ya milioni kwa mwaka unaweza soma pia.
Miaka 17 iliyopita nilipomaliza six ramani hazisomi nilipiga ulinzi KK security tulijipanga tu nikawa naingia usiku so asubui naniga tai naingia darasani, jioni lindoni.
Leo nipo pazuri nalindwa silindi , maisha ni safari.
Asante mkuu kwa ushauri, naufabyia kazi.
 
Hongera mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom