Natafuta kazi yoyote itakayoweza kuniingizia kipato

Habari za wakati huu kwa mala nyingine wakuu, Just a reminder that i still need a job.
 
Wakuu habari, kwa wale ambao waliniambia nikirudi Dar niwacheck, nimekwisharudi tayari. Please bado nahitaji connection ya ajira yoyote. Mwenye ajira yoyote check me.please, niko tayari kuanza hata kesho ikikupendeza. Number yangu ni 0752329591.
 
Hata kama una connection yoyote unaweza niamini na ukanipatia sababu sitakuangusha, any job, skilled and unskilled, kuna watu wanahitaji skilled people kwenye kazi zao za business au kwenye ofisi yake, ila anashindwa kuajiri sababu ya some formal procedures and salary issues, naweza kufanya as intern na believe me kua naweza na ninaexperience ya vitu vingi sana, nahitaji tu connection ili nianze upya sababu kwa sasa siwezi peke angu nahitaji wa kunipa chance tu, just a little chance.
 
Na ushuhuda niliwapa ushauri jamaa wawili hadi wakahitimu degree wote Wana Kazi zao na maisha yao.
Kazi rahisi kupata ni ya ulinzi kwa elimu ya form 4 tafuta hizi kampuni kubwa wanalipa Kati ya laki 2 na nusu hadi 3.
Ukipata Kazi pigana upate malindo ya kwenye magodauni haya usiku huwa yametulia so usiku unajisomea, mchana unaingia darasani.
Open university unaweza soma, hata vyuo vya ada ya chini ya milioni kwa mwaka unaweza soma pia.
Miaka 17 iliyopita nilipomaliza six ramani hazisomi nilipiga ulinzi KK security tulijipanga tu nikawa naingia usiku so asubui naniga tai naingia darasani, jioni lindoni.
Leo nipo pazuri nalindwa silindi , maisha ni safari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom