Natafuta Internship

Olmorani

Member
Aug 13, 2016
50
29
Salaam,
Mimi ni kijana wa miaka 24 na ninaishi Dar es salaam. Nimehitimu shahada ya uhandisi katika fani ya elekrotiniki na mawasiliano mwaka huu. Ningependelea kufanya kati ya mikoa ifuatayo Arusha, Dar au Kilimanjaro. Akhsanteni.
 
Salaam,
Mimi ni kijana wa miaka 24 na ninaishi Dar es salaam. Nimehitimu shahada ya uhandisi katika fani ya elekrotiniki na mawasiliano mwaka huu. Ningependelea kufanya kati ya mikoa ifuatayo Arusha, Dar au Moshi. Akhsanteni.
Moshi siyo Mkoa Mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom