Natafuta betri ya Nokia lumia 920 kwa Dar nitaipata wapi?

wicalumtata

JF-Expert Member
Oct 29, 2013
329
105
Msaada jaman maana niliwasiliana na midcom wakasema hawana.

Nkaenda sapna wakasema hawana sasa sijui tena nifanyaje
 
Back
Top Bottom