Natafuta ajira (kazi) ni mwanafunzi wa chuo lakini najisomesha mwenyewe

Saidi malolo

Member
May 2, 2024
16
10
Mimi kijana wa miaka 24 nasoma degree mwaka wa kwanza Dar es salaam. Naomba mnisaidie kazi kwa sababu najisomesha mwenyewe. Mimi hata nikipatiwa kazi ya kuingia kwa zamu sawa ila iwepo Dar es Salaam

Nitawashukuru sana jamani naomba mnisaidi namb zangu +255 772 525 607 hizo naomba mnisaidie mdogo wenu
 
Mungu akusaidie hitaji lako mkuu.
Loan ujapata?kuna kaz za viwandani ila ni balaa hapo kwa bahkresaa.
 
Nakupa akili ifanyie ndo nilikuwa nafanya Mimi udsm....kama upo Udsm,ukiwa unapewa Boom,nenda bank kule posta..kuna bank ya mkombozi na bank kuu hasa ya mkombozi..zile za Roman..chukua cheji za hata laki 3 au 4...rud cafetelia kawauzie..kipindi icho Mimi kwenye laki nilikuwa nalipwa 8000...ukishidwa..uza biashara ya garanga kwenye mahostel...utapiga pesa.
 
Mimi kijana wa miaka 24 nasoma degree mwaka wa kwanza Dar es salaam. Naomba mnisaidie kazi kwa sababu najisomesha mwenyewe. Mimi hata nikipatiwa kazi ya kuingia kwa zamu sawa ila iwepo Dar es Salaam

Nitawashukuru sana jamani naomba mnisaidi namb zangu +255 772 525 607 hizo naomba mnisaidie mdogo wenu
Wacha tusubiri waje
 
1000427621.jpg
1000428367.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom