Nashindwa kufika mshindo

At 40+ sex is not a big deal, yaani huo sio umri wa kuiwazia sana ngono. Ndio maana hutakiwi umzidi sana mkeo. Sasa fikiria mkeo yupo 24 na wewe 45, lazima utashindwa kumfikisha coz zinskuja moments tofauti kwako, kuna siku utamla vizuri, kuna siku utashindwa, ukiwa na mwanamke mnaendana ni afadhali kidogo.
 
Mimi nina miaka 40 naa... mim miaka mitano iliyopita nilipata tatizo la kutokurudia tendo yaan nikipiiga gori langu moja basi mpka keshoo
Sasa mwezi mmoja uliyopita limeibuka tatizo lingine nikiwa KWENYE sex sikojoi yaan nafanyaa...halafu dushe linaweaaa hapo ndio basi mpka kesho tena
Mwenzenu nina mwezi siijui raha ya kukojoa
Wataalamu naombeni ushauri
Hauna kisukari?
 
Ww unamiaka mingapi mkuu?
Hivi Miaka 40 unaona ni mingi? Miaka 40 tu unasema sex sio compulsory.... Kwa mwanaume hakuna kitu kina replace nafasi ya sex labda kama ni mgonjwa
Mkuu,
40+ ngono sio kipaumbele, hatuwaki tamaa ya ngono kama vijana wa 20s, hatuwalali wake zetu after every two days. Huwezi linganisha kijana wa 20s na mtu mzima wa 48 kwenye issue ya ngono.
 
Mimi nina miaka 40 naa... mim miaka mitano iliyopita nilipata tatizo la kutokurudia tendo yaan nikipiiga gori langu moja basi mpka keshoo
Sasa mwezi mmoja uliyopita limeibuka tatizo lingine nikiwa KWENYE sex sikojoi yaan nafanyaa...halafu dushe linaweaaa hapo ndio basi mpka kesho tena
Mwenzenu nina mwezi siijui raha ya kukojoa
Wataalamu naombeni ushauri
Fanya mazoez acha uzembe
 
Ww unamiaka mingapi mkuu?
Hivi Miaka 40 unaona ni mingi? Miaka 40 tu unasema sex sio compulsory.... Kwa mwanaume hakuna kitu kina replace nafasi ya sex labda kama ni mgonjwa
Mimi Nina zaidi ya miaka 63 mtoto ana bembembea ,we are sharing experience though frequently doing u get aged quickly,( unazeeka haraka), ukichimba mgodi saana unapunguza muda wa kuishi unazeeka kuliko umri wako
 
Tafuta hospitali zenye maabara nzuri na wataalam wazuri uende mkuu wakufanyie vipimo vya kutosha, usipopata ufumbuzi jaribu upande mwingine,shirki kwenye haya mambo ipo sana hasa kwa wanandoa
Mkuu, msukuma huyu ahitaji hospitali au matibabu ,anahitaji ushauri nasaha aende kilichopo jirani yake...

Atapata tiba
 
Back
Top Bottom