Nashindwa kufika mshindo

Punguza wasiwasi tu..hamna kitu hapo...kama damu inaingia kwenye mishipa..uume unasimama then it means kuna kitu kinasababisha kusinyaa...damu kutoka kwenye mishipa...
Uoga, hisia kukata, hormones...
Tulia tu
Da hapa km nimekupata mshikaji wangu
Yaan napafomu hata kwa nusu saa hv halafu ghafla tu imelala
Kupizi kuna raha yake jamani
 
Back
Top Bottom