Naombeni ushauri wakuu

Habari ya asubuhi wa Tanzania wenzangu na Africa kwa ujumla pamoja.

Nina changamoto baada ya kumkuta mke wangu anamawasiliano na mwanaume mwingine na tayari wapo kwenye mahusiano(hajawahi kuzini nae ila charting zao ni za romantic) maana yupo nyumbani kwetu Mimi nipo kikazi sehemu na Huwa narudi baada ya miezi miwili na huyo mwanaume pia yupo mbali.

Kwenye hili mke wangu alisema mume wangu upendo kwako umeisha hasta tendo la ndoa Hana hisia na Mimi kwakudai nilimwacha mpweke akaruhusu mahusiano mengine Saba u ya umbali.

Nilifanya subra kumpa nasaha aweze kuacha nae na pia muhusika nilimpigia simu akasema mkewe alimwambia kuwa ameachika, nikamwambia kuwa hajaachika aachane na mke wangu akaomba msamaha yakawa yameisha.

Ila kadiri siku zinavoenda naona simu ya mke wangu kaweka password hataki niiguse, na maneno ya kejeli kuwa Mimi nilishakwambia uniache upendo kwako umeisha, mume wangu nifulani na sio wewe. Kiukweli niliumia saana kama vile nimepata msiba.

Nikawajulisha ndugu sake kuwa mtoto wenu amepata mwanaume mwingine na anataka kuolewa Mimi Hana mapenzi tena kwangu, mke wangu akajibu kuwa Mimi ndo nimesababisha aingie huko na sio kwamba anataka kuolewa, na wakati tayari Mimi ananitolea maneno mazito kuwa sio mumewake.

Tarehe 25/1/2024 tutakaa kikao Cha familia na ndugu wote, Sasa je huyu mwanamke anashindwa kuwa muwazi kwa ndugu sake kwa anayonitende je suluhu ya hili jambo nimuache ama nifanyeje maana uhalisia ndio huo naombeni ushauri ndugu zangu.

MBARIKIWE
Masuala ya mahusiano ya atakiwa kutatulowa baina ya wahusika tuu. No third party shuld be involved maana ukweli ni kwamba nyie hamuwezi kawaambia wanakikao mambo yote. Hivyo basi wewe kama mwanaume ambaye ndio kichwa cha familia nakushauri chukua uamuzi wewe kama wewe. Fukuza huyo mwanamke tafuta mwengine.
Yaani mwanamke anaolewa kwa ajili ya kugegedwa alafu anakungima mbususu bado unaanza kujadili😲😲😲
Huyo kazi imemshinda tayari aende zake. Kazi kuu ya mke ni kugegedwa akishashindwa hilo she is redundant.
 
Kiongozi pole sana
Kwa mimi nilivyo ona, tatizo la msingi hapo ni wewe kuwa mbali na mkeo
Tambua tu kuwa, kuna watu wapo very active (wana homoni nyingi za kutaka mapenzi) namaanisha Utakuta Mwanamme hawezi kupitiliza wiki bila kulala na mwanamke na pia wapo wanawake ambao wapo hivyo hivyo (kwa kuzaliwa) ambapo hawezi kupitiliza wiki bila kulala na mtu. Na akiwa hana cha kumfanya (hayuko busy) ni mbaya zaidi kwani utagongewa na baadae kuachana/kuchuliwa kabisa

Chakufanya;
1. Jitahidi ukae karibu/ umuhamishie mkeo unapokaa
2. Jitahidi umtafutie cha kufanya (hata kuuza kigenge) ni ili tu awe bize (mtu akiwa hayupo busy, kichwa hutekwa na mambo machafu)
3. Jitahidi mkiwa pamoja, mpelekee moto kwa kadiri unavyo weza

Bila kuangalia uwezekano wa kumuhamishia ulipo na pengine kumpatia kitu cha kumkeep busy hata hivyo vikao vitakuwa suluhisho la muda tu....
 
Chai,ivi kweli inawezekanaa mwanamke namlisha Mimi halafu anitamkie hayaa...et niendelee kuishi nae dk 5 ndani.Kha! Yaani hapo namlaa Tigo halafu namwambia chukua magagulo Yako twende kwenu.
 
Habari ya asubuhi wa Tanzania wenzangu na Africa kwa ujumla pamoja.

Nina changamoto baada ya kumkuta mke wangu anamawasiliano na mwanaume mwingine na tayari wapo kwenye mahusiano(hajawahi kuzini nae ila charting zao ni za romantic) maana yupo nyumbani kwetu Mimi nipo kikazi sehemu na Huwa narudi baada ya miezi miwili na huyo mwanaume pia yupo mbali.

Kwenye hili mke wangu alisema mume wangu upendo kwako umeisha hasta tendo la ndoa Hana hisia na Mimi kwakudai nilimwacha mpweke akaruhusu mahusiano mengine Saba u ya umbali.

Nilifanya subra kumpa nasaha aweze kuacha nae na pia muhusika nilimpigia simu akasema mkewe alimwambia kuwa ameachika, nikamwambia kuwa hajaachika aachane na mke wangu akaomba msamaha yakawa yameisha.

Ila kadiri siku zinavoenda naona simu ya mke wangu kaweka password hataki niiguse, na maneno ya kejeli kuwa Mimi nilishakwambia uniache upendo kwako umeisha, mume wangu nifulani na sio wewe. Kiukweli niliumia saana kama vile nimepata msiba.

Nikawajulisha ndugu sake kuwa mtoto wenu amepata mwanaume mwingine na anataka kuolewa Mimi Hana mapenzi tena kwangu, mke wangu akajibu kuwa Mimi ndo nimesababisha aingie huko na sio kwamba anataka kuolewa, na wakati tayari Mimi ananitolea maneno mazito kuwa sio mumewake.

Tarehe 25/1/2024 tutakaa kikao Cha familia na ndugu wote, Sasa je huyu mwanamke anashindwa kuwa muwazi kwa ndugu sake kwa anayonitende je suluhu ya hili jambo nimuache ama nifanyeje maana uhalisia ndio huo naombeni ushauri ndugu zangu.

MBARIKIWE
"........ mwanaume mwingine na tayari wapo kwenye mahusiano(hajawahi kuzini nae ila charting zao ni za romantic)............."

😄😄😄😄
 
kaka shukuru Mungu amekuambia hana hisia na wewe cha msingi achana nae utateseka kama sio kujitesa
mimi wangu aliniletea mambo kama yako nikamwambia nimeshindwa mimi sasa hivi ni wiki ya pili naugulia maumivu coz bado nampenda ila imenibidi niondoke mwenyewe najua atanitesa maana hana hisia na mimi tena
 
Habari ya asubuhi wa Tanzania wenzangu na Africa kwa ujumla pamoja.

Nina changamoto baada ya kumkuta mke wangu anamawasiliano na mwanaume mwingine na tayari wapo kwenye mahusiano(hajawahi kuzini nae ila charting zao ni za romantic) maana yupo nyumbani kwetu Mimi nipo kikazi sehemu na Huwa narudi baada ya miezi miwili na huyo mwanaume pia yupo mbali.

Kwenye hili mke wangu alisema mume wangu upendo kwako umeisha hasta tendo la ndoa Hana hisia na Mimi kwakudai nilimwacha mpweke akaruhusu mahusiano mengine Saba u ya umbali.

Nilifanya subra kumpa nasaha aweze kuacha nae na pia muhusika nilimpigia simu akasema mkewe alimwambia kuwa ameachika, nikamwambia kuwa hajaachika aachane na mke wangu akaomba msamaha yakawa yameisha.

Ila kadiri siku zinavoenda naona simu ya mke wangu kaweka password hataki niiguse, na maneno ya kejeli kuwa Mimi nilishakwambia uniache upendo kwako umeisha, mume wangu nifulani na sio wewe. Kiukweli niliumia saana kama vile nimepata msiba.

Nikawajulisha ndugu sake kuwa mtoto wenu amepata mwanaume mwingine na anataka kuolewa Mimi Hana mapenzi tena kwangu, mke wangu akajibu kuwa Mimi ndo nimesababisha aingie huko na sio kwamba anataka kuolewa, na wakati tayari Mimi ananitolea maneno mazito kuwa sio mumewake.

Tarehe 25/1/2024 tutakaa kikao Cha familia na ndugu wote, Sasa je huyu mwanamke anashindwa kuwa muwazi kwa ndugu sake kwa anayonitende je suluhu ya hili jambo nimuache ama nifanyeje maana uhalisia ndio huo naombeni ushauri ndugu zangu.

MBARIKIWE
Kanweeneee! Achana na huyo mwanamke oa mwingine usije kujinyonga bure tukakosa member humu
 
Kiongozi pole sana
Kwa mimi nilivyo ona, tatizo la msingi hapo ni wewe kuwa mbali na mkeo
Tambua tu kuwa, kuna watu wapo very active (wana homoni nyingi za kutaka mapenzi) namaanisha Utakuta Mwanamme hawezi kupitiliza wiki bila kulala na mwanamke na pia wapo wanawake ambao wapo hivyo hivyo (kwa kuzaliwa) ambapo hawezi kupitiliza wiki bila kulala na mtu. Na akiwa hana cha kumfanya awe busy ni mbaya zaidi kwani utagongewa na baadae kuachana

Chakufanya;
1. Jitahidi ukae karibu/ umuhamishie mkeo unapokaa
2. Jitahidi umtafutie cha kufanya ( hata kuuza kigenge) ni ili tu awe bize (mtu akiwa hayupo busy, kichwa hutekwa na mambo machafu)
3. Jitahidi mkiwa pamoja, mpelekee moto kwa kadiri unavyo weza

Ukifanya hayo utanishukuru baadae!
mwanamke malaya hata afungwe jela kuna watu watapiga tu, huyu wa jamaa ni kama sikio la kufa huwa halisikii dawa.
 
Mkuu ngoja nifikishwe baharini maana napelekwa mpera mpera na maji
Hakukuwa na haja hata ya kukaa hicho kikao. Mwanamke akikwambia hana hisia na wewe au hakuhitaji unatakiwa uachane nae. Mahusiano yanataka utayari wa pande zote mbili ili yaweze kudumu na kuepusha kuumizana.

Ni hatari sana kuishi na mwanamke ambae moyo wake uko sehemu nyingine.
 
Chai,ivi kweli inawezekanaa mwanamke namlisha Mimi halafu anitamkie hayaa...et niendelee kuishi nae dk 5 ndani.Kha! Yaani hapo namlaa Tigo halafu namwambia chukua magagulo Yako twende kwenu.
hayo ya kuwazia kula mkeo tigo sasa umemkoa au umejikomoa mwenye kuingiza dude lako kwenye majitaka.........lakini ujue akikushtaki unakula mvua 30; siku unatoka umeshazeeka. Wewe ukishindwana naye mwache aende zake.....
 
Ndugu yangu ukiona mkeo ameshaanza dharau za aina hiyo chondechonde naomba kaza Roho muache aende zake..Hakuna wa kubadilisha maamuzi yake kwa kupitia vikao/kikao labda yeye mwenyewe apende kubadilika na kuwa kama mwanzo, Sisi wanawake tunajijua bhana ukiona mpaka Mwanamke wako ameamua kukwambia hivyo ujue huyo hakufai tena piga China bro...
Sisters mwalimu wetu ni kipofu Mara nyingi tuna tabia ya kutema Big G kwa karanga za kuonjeshwa🫣
Ndugu kaza moyo songa Miele usirudi nyuma kamwe na usiyumbe maana akiona u mdhaifu mbele yake atakutesa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom