Naomba ushauri juu ya mbinu za kutumia kwa mtu anayesoma PCB A-level

Amri kuu ni kusoma kwa target ,Advance huwezi kumaliza kila kitu
Solve sana physics,PCB usipige matango hayo waachie PCM soma mambo ya msingi ambayo una uhakika ukiingia kwenye paper unazaa nayo .
Chemistry simple kula organic ,inorganic na general vizuri ,physical chem hua haisumbui nayo target part chache za kuzaa nazo.
Bilogy jitahidi upate mda usome kila siku meza haswa ile bs, ila sio kila page.
Piga msuli sana miaka miwili sio mingi unajila mda mfupi ila matunda yake manono , ila usipanic relax tu utakuta watu wamemaliza syllabus zote form5 we soma kwa kadri ya uwezo wako ,issue sio kumaliza isuue ni kuelewa INGAWA KUMALIZA TOPIC MAPEMA NAPO INASAIDIA ,pia usisahau kuomba kwa imani yako iwe miungu au mizimu nakukumbusha tu sku hizi MD bila one kali hulambi chuo.
 
Haina noma jombaaa.
Thanks so much
 
Jamani naombeni msaada wa kupatiwa syllabus ya Technical secondary school nimejaribu ku google sijapata.
 
Wanatumia za mwaka 1994 , Wizara ya Elimu hawana muda na technical schools siku hizi ndio maana kuna mwaka somo la painting wanafunzi walipata F nchi nzima.

Ufundi ambao at least syllabus inaeleweka ni electrical engineering na mechanical engineering kidogo ila Civil ni pasua kichwa hasa masonry na plumbing.

Kipindi mimi nasoma hakukua na coordination nzuri kati ya shule na NECTA na pia kila shule ilikua na syllabus yake. Haikua jambo la kushangaza kuingia kwenye mtihani wa taifa kukutana na vitu vipya ingawa umemaliza syllabus yote.

Shule za ufundi zilikua na umuhimu kipindi cha Nyerere, Mwinyi na kidogo kipindi cha Mkapa. Kuanzia 2006 hizi shule zimetelekezwa.
 
ok
 
Amri kuu ni kusoma kwa target ,Advance huwezi kumaliza kila kitu
Solve sana physics,PCB usipige matango hayo waachie PCM soma mambo ya msingi ambayo una uhakika ukiingia kwenye paper unazaa nayo .
Chemistry simple kula organic ,inorganic na general vizuri ,physical chem hua haisumbui nayo target part chache za kuzaa nazo.
Bilogy jitahidi upate mda usome kila siku meza haswa ile bs, ila sio kila page.
Piga msuli sana miaka miwili sio mingi unajila mda mfupi ila matunda yake manono , ila usipanic relax tu utakuta watu wamemaliza syllabus zote form5 we soma kwa kadri ya uwezo wako ,issue sio kumaliza isuue ni kuelewa INGAWA KUMALIZA TOPIC MAPEMA NAPO INASAIDIA ,pia usisahau kuomba kwa imani yako iwe miungu au mizimu nakukumbusha tu sku hizi MD bila one kali hulambi chuo.
 
Amri kuu ni kusoma kwa target ,Advance huwezi kumaliza kila kitu
Solve sana physics,PCB usipige matango hayo waachie PCM soma mambo ya msingi ambayo una uhakika ukiingia kwenye paper unazaa nayo .
Chemistry simple kula organic ,inorganic na general vizuri ,physical chem hua haisumbui nayo target part chache za kuzaa nazo.
Bilogy jitahidi upate mda usome kila siku meza haswa ile bs, ila sio kila page.
Piga msuli sana miaka miwili sio mingi unajila mda mfupi ila matunda yake manono , ila usipanic relax tu utakuta watu wamemaliza syllabus zote form5 we soma kwa kadri ya uwezo wako ,issue sio kumaliza isuue ni kuelewa INGAWA KUMALIZA TOPIC MAPEMA NAPO INASAIDIA ,pia usisahau kuomba kwa imani yako iwe miungu au mizimu nakukumbusha tu sku hizi MD bila one kali hulambi chuo.
Apa name nimekupata ushaur mzur sana
 
Back
Top Bottom