😂😂 khaaa!! Ni dawa ya kutibu nini?Hiyo dawa inaleta ukavu choo kama umekula mapera .
Wasiwasi , msongo wa mawazo na maumivu ya kuchoka.😂😂 khaaa!! Ni dawa ya kutibu nini?
Kuna kipindi nilizitumia kwa ajili ya kutafutia usingizi, japo primary function yake sio hiyo.Hiyo dawa inaleta ukavu choo kama umekula mapera .
Sikuwahi tumia mkuu ,kuna namna nazifahamu dawa ,ila pia nimeona wagonjwa wengi wakitumia wanalalamika kupata ukavu choo( constipation).Uliwahi itumia!? Sababu ya kuinywa ilikuwa ni nini!?
Side effect yake Niliyoona ni kwamba ukivimeza, inabidi upate at least 8 hours sleeping time. Tofauti na hapo the whole day utakuwa unafeel dizzinessHabari wana JF!
Kama kuna mtu aliewahi kutumia au mtaalamu wa dawa aina ya Amitriptyline naomba feedback + effects
Hiyo ni side effect mkuu kazi yake ni kupunguza ,msongo , wasiwasi na maumivu ya uchovu.Kuna kipindi nilizitumia kwa ajili ya kutafutia usingizi, japo primary function yake sio hiyo.
For sureSide effect yake Niliyoona ni kwamba ukivimeza, inabidi upate at least 8 hours sleeping time. Tofauti na hapo the whole day utakuwa unafeel dizziness
NtaitafutaNi antidepressant, nilimeza ili nipate usingizi....usingizi wake sio wa kawaida yani unalala hadi unahisi raha, unalala kama vile upo kwenye bembea unaswing unahisi mwili mwepesiiiii..
Inatibu mental illnessHabari wana JF!
Kama kuna mtu aliewahi kutumia au mtaalamu wa dawa aina ya Amitriptyline naomba feedback + effects