Naomba softcopy ya hiki kitabu

Kuna Cha shigongo kina same story (hicho chako sijakisoma) ila cha Shigongo Soft Copy Yake unaweza ipata ila hcho ngumu.
 
Mna jitihada hasa. Kwani haitoshi mkifokonyolewa wenyewe mpaka mfanye kila jitihada kuhusisha wengine?

Unajifanya kutafuta soft copy kumbe kuna hard ya kitu kingine kabisa unatafuta.
Poor mind
 
Kosa la Mtu kusoma kitabu ni lipi? Mbona kama watu akili za kufikiri zimepungua?

Maarifa hutokana na usomaji wa vitu tofauti ikiwemo vitabu.

Kuna Comment hupaswi kujibu maana hapa Jf Ni mchanganyiko wa aina nyingi za watu wenye uelewa tofauti.
 
Kosa la Mtu kusoma kitabu ni lipi? Mbona kama watu akili za kufikiri zimepungua?

Maarifa hutokana na usomaji wa vitu tofauti ikiwemo vitabu.

Kuna Comment hupaswi kujibu maana hapa Jf Ni mchanganyiko wa aina nyingi za watu wenye uelewa tofauti.
Aisee kweli mkuu, huwa napendwa kujisomea vitabu sana chakushangaza naanza kuambiwa upinde upinde daah
 
Africa ni bara masikini lenyewe watu wavivu na wajinga wa mwisho, Leo hii Africa especially Tz hawapendi kusoma vitabu kabisa wao na simu kuangalia upuuzi wa kinamange kimambi tu.
Ujinga wakujifanya wanajua Kila kitu ilihali wao ni wajinga wa mambo mengi Dunia
Unaposoma vitbuunapanua akili yako hata uwezo wa kufikili pia unaongezeka Kwa mfano mtu amesoma vitabu kuhusiana na janga kubwa la Dunia hili la ushoga amesoma athari zake amejifunza hawezi kulingana na mtu ambae hajui
Kuna watu wengi vijijini hawajui hivo vitu watasaidiwa na nani ili wajue na kuelewa ili kuepukana na swala Hilo kama sio mm na wewe tulopata wasaha wakusoma vitabu
Kuna wapuuzi wengi sana Tz hii nikutokana na fikira funyuuu sana na ujinga ulipitiliza ujuaji usiokuwa na maana.
i
 
Back
Top Bottom