Naomba mwenye kitabu cha Principles of Physics for class XI, S Chand

SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau naomba mwenye PDF ya hiki kitabu anisaidie
Aise ninacho ila kiukweli mkate mkubwa hivi zaidi ya kurasa 1312 sio rahisi uiingie kwenye whatsup mtu asikudanganye hata kwa email. Au watumie email hii helpdesk@schandpublishing.com Au tafuta nunua 35000
20200216_162409.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom