donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,086
- 21,556
Habari wakuu,
Straight to the point. Kuna ka kibanda kangu kamoja nilikajenga nikiwa nafanya kazi bagamoyo manispaa, ni ka jumba Ka vyumba viwili (vyote self), sebule, jiko na public washroom. NI takribani kilomita 5 kutoka Bagamoyo centre.
Sasa baada ya kuhama mazingira hayo nikaona nitafute mpangaji angalau niwe napata kodi maana sitarajii kurudi tena mazingira Yale. Wakati nafanya utaratibu kuna jamaa alinigusia tu juu juu kuhusu AirBnB ambapo akaniambia wageni (wazungu) wanakua wanakodi nyumba kwa muda kadhaa.
Sasa sijaelewa kiundani kusema za ukweli, nimedownload hadi app yao lakini bado sijapata mwanga mzuri hivyo naomba kwa anayefahamu kuhusu hii kitu aweze kushea knowledge hapa kusudi tuweze kuelimika kwa faida ya wengi. Asante 🙏