Naomba kujua kuhusu hii Kozi mpya iliyoanzishwa Muhimbili, Audiology and Speech Therapy Pathology)

Nomba kujua ukihitimu utafanya kazi kwenye sekta ipi na ipi na majukumu hasa ni yapi?
from google
Audiologists and speech-language pathologists (SLPs) specialize in the medical complexities of communication. Audiologists focus on diagnosing, preventing, and treating hearing and balance problems. Speech-language pathologists specialize in diagnosing and treating speech, language, and swallowing disorders.19 Jan 20
 
Unamchanganya mwenzako bhna na hicho kiingereza chako cha ku google wakati. Iko ivi Audiology ni kusomea namna ya kupima uwezo wa mtu kusikia hii ni kwa watu wenye tatizo la usikivu. Na hapa unampima ili ujue uwezo wake wa kusikia. Mfano tunaona kwa watu wenye tatizo la macho namna upimaji wao unavyokuwa na akibainika na changamoto unakuta umamshauri avae miwani ya aina flan kama sikosei. Hivyo hata kwa watu wenye tatizo la usikuvu hupimwa ili kujua kiwango Chake cha kusikia ( haswa watoto) ili kuona je anafaa kupewa vifaa vya kumsaidia kusikia ama laa. Suala la speech therapy pathology ingawa najua kias chake ni namna ya kumsaidia mtu kuweza kutamka maneno haswa kwa wtoto ambao wanakutwa na tatizo la kuongea. Ni course nzuri nenda ukasome usaidie Taifa letu
 
Thanks umenipa mwanga kidogo
 
Back
Top Bottom