Naomba kufahamu juu ya Mafao ya NSSF

Zuriii

Member
Sep 9, 2019
76
169
Habari zenu watu wa Mungu,

Naomba msaada wa kufahamu juu ya namna gani nitalipwa mafao yangu baada ya ajira yangu kukoma. Niliajiriwa katika kampuni binafsi na niliajiriwa nje ya taaluma yangu.

Je naweza kupata mafao yangu yote kwa mkupuo?

Shukrani.
 
Kwa mujibu wa utaratibu wao kulipwa mafao yako yote hutegemea level yako ya elimu. Kuanzia diploma na kuendelea unatapata 33.3% ya mshahara wako wa mwisho na utapata io hela kila mwisho kwa mwezi kwa miezi isiosidi 6 na Wenye elimu chini ya diploma wanalipwa mafao yao yote hii ni kulingana na sheria ya kinyonyaji iliowekwa
 
Back
Top Bottom